SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Wacha hizo. Hivi unajua maan ya Tekenolojia? au unaona Kuchezea tiktok ndio technology?Teknolojia
Kwa taarifa yako hakuna eneo lingine lelote lile duniani ambalo lilikutwa na tekenolojia ya hali ya juu zaidi ya Afrika ans in particular katika maeneo yetu ya Afrika mashariki.
Hiyo teknolojia tunayohitaji kuendelea ndio ipi na imekosekana vipi hapa kwetu?