GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
✅🙏🙏🙏Absolutely.
Ni lazima tujifunze na kuiga mazuri yao yote, Yale ambayo tunaona kuwa ni mabaya basi tuwaachie wao wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅🙏🙏🙏Absolutely.
Ni lazima tujifunze na kuiga mazuri yao yote, Yale ambayo tunaona kuwa ni mabaya basi tuwaachie wao wenyewe.
🤣🤣🤣Watakwambia ni Mabeberu huku wakiiba pesa za miradi iliyofadhiliwa na Mabeberu
Ushoga nao ni wakujifunza?
Ana point usim-crush!Siumeona jinsi ulivyo
Siyo mpaka uende kwao ndiyo utaweza kujifunza. Hata hapo ulipo unaweza kujifunza mazuri yao kupitia vitabu vyao.Nimeshawauliza , na hakuna hata mmoja aliyetoa sababu za kwenda huko kwasababu ya Wazungu wameendelea au mtu mweusi anahitaji kuwaiga ili aendlee!
Kwani hakuna wazungu wanaofia barani Afrika kila mwaka?
Kwanini wazungu wanakuja Afrika?
Huwezi kuendelea Kamwe kwa kuiga iga watu, Nchi ambazo sio za Magharibi zilizopiga hatua kiuchumi hazijakua kwa kuiga, Nchi za Gulf, Nchi za Asia Kusini mashariki, Nchi za Asia ya mbali zote zimetoboa kwa kujijua wapo wapi na wanaelekea wapi.Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.
Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.
Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.
Sikiliza country music
Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money
Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell
Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Ukiiga mazuri yao utaamka kitu wasichotaka kitokee na ukipata kiongozi mzuri anayekufungulia codes zao wanampiga vita refer Dr Magufuli.Absolutely.
Ni lazima tujifunze na kuiga mazuri yao yote, Yale ambayo tunaona kuwa ni mabaya basi tuwaachie wao wenyewe.
Sikiliza country music
Mi ni mshabiki wa hip hop ila kiukweli hip hop ni mbaya na haifai kwa jamii zetu. Kule ni drugs, guns and violence hasa na kitu kinaitwa african american culture kukimbia watoto kuwaachia single mothers na thug life eti one wife ,mistress and girlfriend(prostitution).Mmatumbi wa Ubaruku na kipilipili kichwani unasikiliza country music! Kwamba rnb mbaya. Hip hop mbaya. Bongo fleva mbaya. Afro beats mbaya. Y'all ni66as are sell outs.
Africa walikuwa wanawafanyia wanawake ukeketaji kabla wazungu hawajafika bara hili.Mimi naamini weusi kwa asili yetu tungekuwa hatujakutana na watu weupe dunia yetu ingekuwa bora sana,iliyojaa maadili heshima mtu kwa mtu etc.
Ushoga umekuwepo Africa hata kabla ya ujio wa wazungu.Ukiiga mazuri yao utaamka kitu wasichotaka kitokee na ukipata kiongozi mzuri anayekufungulia codes zao wanampiga vita refer Dr Magufuli.
Ukiiga mazuri yao eg demokrasia wanakuchomekea iga na ushoga wao kwamba hivyo viwili vinarandana haviachani,ni kusema leo ukitaka uongozwe na kiongozi unaemtaka wewe unatakiwa na siku mwanao wa kiume akisema hataki kuoa anataka aolewe yeye uandae sherehe ya send off kumuaga anaenda kuchezea miti na usinune,ukinuna umevunja demokrasia.
Yes mkuu country music Ina ujumbe Sana na inaongeza utulivu wa akili na hisia katika kuyaelekea mamboMmatumbi wa Ubaruku na kipilipili kichwani unasikiliza country music! Kwamba rnb mbaya. Hip hop mbaya. Bongo fleva mbaya. Afro beats mbaya. Y'all ni66as are sell outs.
Mimi naamini weusi kwa asili yetu tungekuwa hatujakutana na watu weupe dunia yetu ingekuwa bora sana,iliyojaa maadili heshima mtu kwa mtu etc.
Did you mean a House Niga?Kwamba wewe ni HN? Umejua kusoma na kuwaiga na kwahiyo umeendelea?
Unajidanganya na unajivutia laana kwenu.
hizo ni hulka za mwanadamu. Sasa Ukizingatia kwamba vitabu unavyotaka tuige, na mambo mengine ya wazungu, basi usisahahu kwamba hata vitabu vikuu vingi vya dini duniani vimezungumzia roho mbaya, chuki, wivu, na ujuaji ushamba n.k sasa wao walijifunza wapi?
utaona kuwa umepiga kalas hapo.
Umba dunia yako isiyo na Racism ukaishi.So what? Racism ipo dunia nzima? Bora ungeniambia kitu sijui hatahivyo hiyo siyo hoja yangu
Ngoja sindano ikuingie. HN oops, Uncle Tom! Nani ameweka emotions hapo?
Wewe ni gaidi tu, you're a racist bigoted mysoginistic twaat.
Naelewa kwamba una uwezo wa kujitetea na siezi kuvuka mipaka yangu kwa kukupa ushauri. Hatahivyo, naelewa huyo Infropreneur amelaaniwa. Dont pay him any attention, best kumpotezea mazima, ni mtu anayejitia laana kila siku na posti zake za kulaanika yeye na ukoo wake. Si ajabu huwa anajitapikia mdomoni kila anapokutana na mtu mweusi. Nimesoma pahali kuhusu Uncle Tom. Dah.So what? Racism ipo dunia nzima? Bora ungeniambia kitu sijui hatahivyo hiyo siyo hoja yangu
Ngoja sindano ikuingie. HN oops, Uncle Tom! Nani ameweka emotions hapo?
Wewe ni gaidi tu, you're a racist bigoted mysoginistic twaat.
Kama wao ustaarabu walichukua kwa kemet, unaonaje na ss tukachukua kwao.Ustaarabu walichukua kwetu...Kemeti sema tu mambo yalikuwa hayaandikwi....wabishi watapinga
AtajijijuDid you mean a House Niga?
Wacha upumbavu kenge we. wapi nimesema hakuna Racism?Umba dunia yako isiyo na Racism ukaishi.