Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

Ofisho mlinzi

Member
Joined
Nov 8, 2021
Posts
6
Reaction score
0
Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
 
Naona ni fursa ya kujiaji kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
Tayari Banda unalo?
Nunua TV 2 kubwa walau nchi 42 ambapo kila moja inawezacost 750k inategemeana na brand
Ving'amuzi viwili Azam na DStv Ila Kama soko lipo vizuri ukiwa na DStv 2 sio mbaya hapa andaa laki 3.5
Vitu vidogo vidogo Kama extension,cables nk andaa laki moja.
Mabenchi hapo andaa Kama 2 utaongeza na viti vya plastic.
Roughly Kama 3.2M ivi unatisha ukiwa centre nzuri hukosi 250k kwa wiki yenye Uefa.
Hasa ukizingatia siku hizi ueropa nako imepata watazamaji
 
Back
Top Bottom