Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya Katiba kiheshimiwe

Acha unafiki Mkuu. Kuna mvunja katiba nchi kama Mheshimiwa Rais ambae huwa unamtetea kuliko hata unavyoweza kumtetea mama yako mzazi!
Kuwa specific wapi JPM alivunja katiba na kisha nikamtetea? Kama unafiki unao wewe.
 
Wakati wewe unatoa povu hapa kuna wapuuzi kule bungeni wanaongea upumbafu na kuna watu mtawaunga mkono kisha mtarudi hapa kulialia
 
Hilo ndio Tatzo lingne Sasa, ila inawezekan Bado wanakusanya Ushahidi ili wafungue Kesi [emoji732][emoji732][emoji732]

Kuna vtu baadhi ya watz Hatuwez kujisimamia sisi na kuwasimamia wengin kwa Haki na usawa.

Sijui Nani alituloga au ni Elimu tulizopewa pewa au vyakula tunavyokula

Tutakuja kumbuk shuka kwa pamoja wakat jua limechomoza
Mbona ipo kimya?
 
Wewe una lako jambo.
Mahakama zipo, una haki ya kufungua shauri mahakamani ili majibu sahihi yapatikane,

Acha majungu.
 
Mahakama hazikuundwa ili watu wavunje katiba. Kisha tuwapeleka mahakamani,wakati katiba ipo wazi.
 
Nafikiri ni vizuri kuangalia wewe ni muaminifu kiasi gani katika mazingira yako. Na katika hili moyo wako ukanene nawe.
 
Maneno mengi ila sema Tatizo ni akina Halima kuwa Bungeni, hili litawasumbua kama hamtaangalia historia. Zitto alishakuwa kama hao unaobwabwaja na mapovu kukutoka.
 
Tumia akili kabla ya kupost uharo,Zitto kujiunga na SUK wapi amesababisha uvunjifu wa katiba ya JMT? Je,unaweza kulinganisha na wabunge waliofukuzwa chama na wao wakakata rufaa sababu wanajua wameshafukuzwa?
 
Unaumwa wewe, hukumbuki alivyotimuliwa Chadema akabaki kuwa mbunge hadi akamaliza kipindi chake! Acha mihemko
 
Zitto hakubaki kuwa mbunge,fuatilia labda kama alikuwa analipwa kwa siri.
 
Una uhakika? Tatizo la wapenzi na wanachama wa Chadema ni kukurupuka bila kufanya utafiti. Sentiments kwa wingi kama dada zangu. Mihemko tu. Fanya utafiti kwanza ndipo ujenge hoja. Hata mpuuzi Tundu Lissu ni galegale tu sijui mna nini au too much adrenaline
 
Naona unataka kuniharibia siku. Jikite kwenye mada husika juu ya katiba ya JMT inavyokanyagwa na kusagwa.

Kama Zitto alifukuzwa Chadema na akabaki mbunge basi katiba ya JMT ilivunjwa,huko nyuma mimi sikusikia usinilazimishe.
 
Fanya utafiti la sivyo kaa kimya. Kwa kukuonesha mlivyo wa hovyo umeona jinsi mnavyosigina katiba yenu? Mpuuzi TL anasema rufaa zitasikilizwa March au April wakati ilitakiwa siku 30.

Kwa minajiri hiyo hamna uhalali wa kulalamikia uvuniwaji wa katiba Tundu Lissu: CHADEMA haijapokea ruzuku hata senti 5, Baraza Kuu kukaa Machi au Aprili
 
Back
Top Bottom