Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Mfalme ameshasema kuna muhimili uliojichimbia chin zaid mbna mnakuwa wagumu kuelewa????kwan humo vichwan mmejaza nn???
Mbona ipo kimya?
Mbona ipo kimya?
Una uhakika? Tatizo la wapenzi na wanachama wa Chadema ni kukurupuka bila kufanya utafiti. Sentiments kwa wingi kama dada zangu. Mihemko tu. Fanya utafiti kwanza ndipo ujenge hoja. Hata mpuuzi Tundu Lissu ni galegale tu sijui mna nini au too much adrenaline
Wewe ndo unakurupuka.......Tatizo la wapenzi na wanachama wa Chadema ni kukurupuka bila kufanya utafiti. Sentiments kwa wingi kama dada zangu. Mihemko tu
Jiheshimu we kijana.Wewe ndo unakurupuka...
Mleta mada ni MATAGA damu kama ww.
Labda kama ameokoka Leo
Umefafanua vyema.Taifa lilikofikia ni kiwango cha juu kabisa cha kuamsha vurugu wakati wowote.
Katiba haiheshimiwi na watawala kisa wana bunduki zinazowalinda dhidi ya raia.
Ukweli ni kwamba umma wa watu hufikia mahali ambapo hawana uchaguzi ila na wao kutoiheshimu katiba kama watawala wao.
Ikifikia hapo ndipo unapo ona taifa likiingia katika machafuko.
Zimekuwepo nchi nyingi sana za mfano zilizofikia machafuko kwa sababu ya kiburi, kejeli, ukosefu wa busara unaosababishwa na watawala kutokuwa waadilifu wa kiapo chao cha kuilinda katiba yao.
Mfano mwingine wa karibu kabisa ni hili la polisi kumburuza na kumpa kipigo dreva wa lori hadi kifo halafu kwa ufupi na kejeli wana kuja na jibu la kwamba dereva huyo alikua na korona na hakuna aliewajibika.
Hivi ukamkuta mgonjwa kwenye viwanja vya hospitali amejipumzisha ukaanza kumburuza na kumpiga akafia mikononi mwako, jibu litakuwa raisi tu kwamba alikua mgonjwa ndio maana alilazwa?
Hata wale watakao kubalia jibu lako nao wana upungufu wa kufikiri vizuri(wavunjifu wa kanuni za haki ya kuishi)
Mungu rehemu taifa hili linaloshuka chini kwa kasi ya 5G.
Jaribu wewe kwanza uone kitakacho fuata!Sasa wananchi nao wakichoka kutoilinda katiba nini kinafuata?
Mahakama ipi hii inayoongozwa na Bwana Juma?Wewe una lako jambo.
Mahakama zipo, una haki ya kufungua shauri mahakamani ili majibu sahihi yapatikane,
Acha majungu.
Usitumie matako yako kutishia umma wa watanzania,hata Libya,Sierraleone na Uganda kulikuwa na masuala kama haya ya kutokuheshimu katiba za nchi.Jaribu wewe kwanza uone kitakacho fuata!
Mkuu wa mkoa ametia aibu,anadai eti marehemu hakutii bila shuruti.Taifa lilikofikia ni kiwango cha juu kabisa cha kuamsha vurugu wakati wowote.
Katiba haiheshimiwi na watawala kisa wana bunduki zinazowalinda dhidi ya raia.
Ukweli ni kwamba umma wa watu hufikia mahali ambapo hawana uchaguzi ila na wao kutoiheshimu katiba kama watawala wao.
Ikifikia hapo ndipo unapo ona taifa likiingia katika machafuko.
Zimekuwepo nchi nyingi sana za mfano zilizofikia machafuko kwa sababu ya kiburi, kejeli, ukosefu wa busara unaosababishwa na watawala kutokuwa waadilifu wa kiapo chao cha kuilinda katiba yao.
Mfano mwingine wa karibu kabisa ni hili la polisi kumburuza na kumpa kipigo dreva wa lori hadi kifo halafu kwa ufupi na kejeli wana kuja na jibu la kwamba dereva huyo alikua na korona na hakuna aliewajibika.
Hivi ukamkuta mgonjwa kwenye viwanja vya hospitali amejipumzisha ukaanza kumburuza na kumpiga akafia mikononi mwako, jibu litakuwa raisi tu kwamba alikua mgonjwa ndio maana alilazwa?
Hata wale watakao kubalia jibu lako nao wana upungufu wa kufikiri vizuri(wavunjifu wa kanuni za haki ya kuishi)
Mungu rehemu taifa hili linaloshuka chini kwa kasi ya 5G.
Ni wewe mwenye mawazo hayo siyo umma wa watanzania! Mbona mliitisha maandamano mkazodolewa na umma wa watanzania. Usiilinganishe Tanzania na Libya, Uganda au Sierraleone, umma wa watanzania una unga mkono serikali yao (hii ya sasa) kwa zaidi ya asilimia 84.Usitumie matako yako kutishia umma wa watanzania,hata Libya,Sierraleone na Uganda kulikuwa na masuala kama haya ya kutokuheshimu katiba za nchi.
Hata wewe umekuwa miongoni mwa hao wabunge wanawake usinge and Ila haya maneno,Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote.
Leo hii taifa letu linashuhudia mambo mengi tu ambayo ni kinyume na kabisa na kilichoandikwa ndani ya katiba yetu ya JMT. Mfano ibara ya 13 (1) ya katiba ya JMT imeweka wazi juu ya usawa wa kila raia mbele ya sheria za nchi nyetu. Lakini ukweli ni kuwa hili halipo hivyo. Tunashuhudia watu wengi wanafanya makosa na kwa kuwa ni viongozi au watumishi wa serikali wanalindwa na hata hawachuliwi hatua.
Ibara ya 13 (6)(b) imeweka wazi kuwa hakuna mtu ambaye atatiwa hatiani mpaka mahakama ithibishe hatia yake,lakini tumesuhudia watu wakichalazwa bakora hadharani na viongozi kama punda.
Ibara ya 23 (2) imetamka wazi kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara au ujira unaostahili,lakini tunashuhudia watumishi wa umma wakinug'unika kwa zaidi ya miaka mitano bila kupata nyongeza ya mishahara inayoendana na hali ya maisha.
Je, hili la wabunge waliofukuzwa Chadema na wao kukiri wazi kuwa wamefukuzwa kwa kukata rufaa lakini leo tunawaona wakitinga bungeni mbona linatia aibu!
Ibara ya 67 1(1)(b) imeweka wazi kuwa mbunge lazila awe mwanachama wa chama cha siasa aliyepitishwa na chama chake. Ibara ya 71(1) (e) imeweka wazi kuwa ukomo wa mbunge utakoma iwapo uanachama wake utakoma. Je, hawa waliofukuzwa ni wabunge?
Halina ubishi kuwa taifa letu linakwenda shagalabagala,maana katiba inakanyagwa na hii ni picha mbaya sana. Je wananchi nao wakija kuanza kutoitii katiba ya JMT nini kitafuatia? Maana tusiangalie sarafu upande mmoja kana kwamba sisi sio binadamu.
Wanaanza kutafutana wenyewe kwa wenyewe. Ukiona hivyo maslahi yaliyotegemewa yameyeyuka😂Acha unafiki Mkuu. Kuna mvunja katiba nchi kama Mheshimiwa Rais ambae huwa unamtetea kuliko hata unavyoweza kumtetea mama yako mzazi!
Kaa na watu usikie manugu'uniko yao acha kukariri,huu uzi hauhusiani na Chadema wala Ccm. Watanzania wanamalamiko mengi, nyongeza ya mishahara, watun wanauliwa na vyombo vya usalama na viongozi wanajichukulia sheria mkononi; Haya yote yanahusika na Chadema? Wewe hukai na watu bali unaishi maisha ya mitandaoni.Ni wewe mwenye mawazo hayo siyo umma wa watanzania! Mbona mliitisha maandamano mkazodolewa na umma wa watanzania. Usiilinganishe Tanzania na Libya, Uganda au Sierraleone, umma wa watanzania una unga mkono serikali yao (hii ya sasa) kwa zaidi ya asilimia 84.
You have failed miserable! Ulicho baki nacho ni ndoto tu! Endelea kuota.
Somo hapo juu sio usawa,ni katiba kuheshimiwa.Hata wewe umekuwa miongoni mwa hao wabunge wanawake usinge and Ila haya maneno,
Kuhusu usawa anajua ni haki lakini Nina uhakika hata wewe Kama una familia unajua hujaweka usawa unaoutaka hapa jukwaani,
Jambo hilo ni kubwa Ila linatatulika pale kipato kinapotosha kufanya hivyo na kubaki ziada, vinginevyo hapa duniani bado sana.
Narudia tena,hata wewe hujaweka usawa kwenye jamii yako inayokuzunguka.
Kaa na watu usikie manugu'uniko yao acha kukariri,huu uzi hauhusiani na Chadema wala Ccm. Watanzania wanamalamiko mengi, nyongeza ya mishahara, watun wanauliwa na vyombo vya usalama na viongozi wanajichukulia sheria mkononi; Haya yote yanahusika na Chadema? Wewe hukai na watu bali unaishi maisha ya mitandaoni.