Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

Write your reply...itakuwa umekuja kupima upepo ili uone mpango huu utapokelewa vp??
watanzania wanataka miaka ya Rais Magufuli iongezwe iwe 20 ili amalizie miradi yote aliyoanzisha
 
Hapa leo tuelewane , Maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya Bara Bara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.
Baada ya miaka 20 nusu ya nchi hii watakuwa wanvaaa kaniki
 
Hashawishiki mtu hapa... Miaka 5 inamtosha kabisa, Maendeleo ya serikali yanayoacha watu masikini hayana maana
haya ya miaka 20 ni mawazo ya watanzania sio mawazo yangu binafsi na hiyo ndio dawa ya uchumi wetu kupaa juu zaidi.
 
Hapa leo tuelewane , Maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya Bara Bara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.
kumaliza hii mitatu, ashukuru Mungu... ilibidi tuwe tumefanya uchaguzi mwingine kwa jinsi alivyovuruga uchumu wa Taifa letu..!
 
Mkapa alianza uwanja wa taifa kamalizia jk, jk kaanza daraja la kigamboni kamalizia JPM....
Hivyo hiyo miradi mingine watamalizia wengine
Upo sahihi mkuu + mwendokasi aliacha JK, naniliu akaja kumalizia
 
nimefanya utafiti kuanzia newala, bariadi, sikonge, kasulu, Ruangwa, mbinga, mpanda, muheza na maeneo mengine watu wanataka miradi iishe na ni muhimu aongoze miaka 20 ili amalizie miradi yote.
Ni asilimia ngapi ya watanzania wanaokubaliana na hilo suala???
 
mkuu niko sahihi kwenye utafiti wangu , mbona mengine nampinga Rais na mnakua pamoja na mimi naomba hapa tuunge mkono mawazo ya wananchi.
Mkuu naona we hujachoka eti...???...Increasing in general price level (Inflation), High rate of unemployment, Decreasing of currency value, Political instability etc, yani kwa kifupi Balance of Payments inazingua ndo mana majority Hatulitaki Jiwe
 
Uraisi sio mtu uraisi ni taasisi inayoongozwa na katiba mkuu....hata mtoto wa miaka mitano anaweza kuwa raisi na nchi ikaenda vizuri tu
 
haya ya miaka 20 ni mawazo ya watanzania sio mawazo yangu binafsi na hiyo ndio dawa ya uchumi wetu kupaa juu zaidi.
Mkuu Watanzania hawana uhitaji huo, kabda kama hamkuwafafanulia vema nini malengo ya utafiti wenu.
 
nimefanya utafiti kuanzia newala, bariadi, sikonge, kasulu, Ruangwa, mbinga, mpanda, muheza na maeneo mengine watu wanataka miradi iishe na ni muhimu aongoze miaka 20 ili amalizie miradi yote.
Mbona utafiti wako ni finyu sana. Hizo wilaya 8 si kama mikoa miwili tu?. Halafu inaonyesha ni kwa jinsi gani wengi wetu tulivyo wavivu na sasa tunatukanywa na Trump. Mtu amepewa dhamana ya kuongoza ana miaka 3 tu watu wameanza kupiga debe la miaka 7 na hapa miaka 20!.Mmetumwa kuangalia upepo unaendaje?. Kama umetumwa;shughulikia mambo ya msingi kwanza na kuleta hali bora kwa watanzania wote.Waasisi walioweka kipindi cha miaka mitano mitano hawakukosea. Mbona walioendelea wanafanya uchaguzi kila miaka minne ; hawa nao ni wajinga?
 
Tatizo sio kuongezewa ila hii kazi inahitaji msaada mkubwa sana pande zote
Anahangaikia sana nchi ila wengine hawalioni
 
Giwiiihuuuiuiijkkhokilkkee
Hapa leo tuelewane , Maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya Bara Bara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.
J
 
raisi hana miradi mkuu. ni ya wananchi hatoi pesa yake mfukoni! hata hizo pesa za vitambulisho alivyotengeneza hapo ikulu. bila hata kutangaza zabuni ni kusaka pesa za miradi
 
Tatizo sio kuzindua na kuweka mawe ya msingi,,tatzo maisha yetu ya mtaani yamekuwa magumu
 
Back
Top Bottom