Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Tuonyeshe huyo mwingine.Una uhakika gani kama ndio yeye huyo mkuu?...Usitake kusema kwamba Jesca John Magufuli yupo mmoja tu after all hujui kama ni kweli alisoma hiyo shule.
Kama Ali reseat huku anasoma form 5&6 na akaoa credit ataendelea he? Ajabu nn?Elimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
Ukiangalia alikuwa nayo moja, hawezi kushindwa kupata mbili.Kwahiyo hayo matokeo angrisiti angepata credit?
Kwani Kuna sehem huyu Binti kasema hivyo?Kwahiyo ndo anataka kuwa kiongozi MTU mwenye F kibao hadi ya kiswahili sisiemu aha!!!
Form six alipata 2 ya 12.Elimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
Aaaah sawaUkiangalia alikuwa nayo moja, hawezi kushindwa kupata mbili.
Ilikuwa ngumu sana, walikuwa wanaenda lakini lazima atafute credits nadhani.IV ya 30 hawezi kwenda A-level?(Kwa kipindi hicho 2010s)
Nashangaa wamemkakia kooni dada wa watu ,wakati Kuna vilaza kibaoJamani mbona mumemkomalia sana huyu mtoto? Hayo matokeo aliyonayo DDDC FFF kwa vyuo vyetu atashindwa kujiunga kozi yoyote ya diploma? Diploma za arts zote ni miaka 2 kabla ya 2017...afu 2014 ukaanza degree...utashindwa kumaliza 2017? Ukiunga masters huo mwaka utashindwa kumaliza 2019?....mbona sio mtanzania wa kwanza?.....hata babaake mbona alisoma kwa njia hii?.....ndalichako alipofuta zile diploma za UDOM ulifikiri ni kitu gani kile??.....
Ila Magufuli alikua na maamuzi ya hatari..Anaenda kuwasukumia watoto kwenye shule ya kata darasa lina wanafunzi 500+ kweli??😂Jesca alikuwa hasomi, hata kidogo!
A students mara nyingi hawawagi viongozi ila ni C students au kama huyo anayejadiliwa hapaKwahiyo ndo anataka kuwa kiongozi MTU mwenye F kibao hadi ya kiswahili sisiemu aha!!!
Wewe nae hufikilii kama alisoa advance huku anarisiti je?Elimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
Ila Magufuli alikua na maamuzi ya hatari..Anaenda kuwasukumia watoto kwenye shule ya kata darasa lina wanafunzi 500+ kweli??😂
Kwa kipindi hiki wanaenda A level na IV ya 30?IV ya 30 hawezi kwenda A-level?(Kwa kipindi hicho 2010s)
Yaani inashangaza snSamahani wewe uliyepata one upo wapi sasa hivi?? Mwenzako alipata four baadaye akaja kuwa amiri jeshi mkuu! Wewe endelea kung'ang'ania division! Nani alikudanganya kupata one unakuwa na akili???Kwa hii elimu ya Tanzania????????????
Tatizo mashindano ya darasani mnaleta mpaka mtaani halafu unakuta wale vilaza wanatusua unaanza kuona wivu, yaani unaona kama hawastahili vile kuwa na maisha mazuri!
Mwisho ilikua 26 kama ukiwa na C zako mbili na D twende...Kwa kipindi hiki wanaenda A level na IV ya 30?