Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

Jesca alishakuwa Amiri jeshi mkuu?
 
Duh jesca alikuwa darasani chenga sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti na wewe ni Wakili na unauzoefu wa miaka 20!! Wewe ni mbumbumbu kuliko mbumbumbu wote duniani. Unafikiri Waziri ndio mtaalam wa Wizara!! Waziri ni msimamia sera tu, wataalam wa wizara ni Katibu Mkuu na Wakurugenzi, be informed wewe kilaza wa sheria.
 
Usifikiri kufeli darasani ndio kufeli maisha!
Yes that's very true ila watoto wasome shule wafaulu kuna relation kubwa kati ya kufaulu darasani na kufaulu maisha, uwezekano wa mtu aliefaulu darasan kufaulu kwenye maisha ni mkubwa kuliko jitu lililofeli?... Unaona hii platform tunayotumia kuambiana hizi habari ? Imetengenezwa na mtu aliesoma shule, huwezi kuandika code za php, html na JavaScript kama haujasoma. Mkuu unataka kuibeza shule sababu ya wapuuz wawili watatu walofeli shule ila wakafaulu maisha ?...Tunalekea wapi wazee? Alafu watu wa ccm mlivyo kesho utakuja kumsifia majaliwa alivyosema watu warudi shule (VETA), lakin hapa shule unataka kuiponda kabisa kwanini mkuu ?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…