Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Duh aisee πŸ˜‚
 
Mimi nilikutana na mtoto mmoja wa kipemba fesibuku. Tuka panga tukutane laivu bila chenga. Ile kukutana nae kumbe mama kijacho mimba ya miezi 6.
 
Unaeza ukawa unasoma huu uzi ukashangaa kujikuta unasimuliwa humuπŸ˜‚
 
Ila wizo unazingua ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na wewe ungemsonkola vidole vya macho aache ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…