Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Naomba thread hii isindikizwe na wimbo wa Chike ft Mohbad- Egwu

Aiyeeee Aiyeeee Aiyeee Aiyeeee Uuuuuu Uuuu Uuuuu Aiyooo Iyoooo Uuuuu[emoji445][emoji445][emoji445]
 
Umenikumbusha mshikaji wangu Lumi. Tumevuka maji toka Kigamboni kumpokea demu katoka Bagamoyo hakuwani kumuona. Si akamkimbia baada ya kumuona kwa mbali. Eti sura haikuwa kama kwenye picha, kademu kembambaaa halafu kamepiga mkorogo hatari
 
Umenikumbusha mshikaji wangu Lumi. Tumevuka maji toka Kigamboni kumpokea demu katoka Bagamoyo hakuwani kumuona. Si akamkimbia baada ya kumuona kwa mbali. Eti sura haikuwa kama kwenye picha, kademu kembambaaa halafu kamepiga mkorogo hatari
Mlimpokea au mlikula kona?
 
[emoji1787][emoji1787] aisee hizi mambo, miaka kadhaa chuo, baada ya pindi nikazama zangu Nyirenda hostel, nikaanza cheki DPs za freshers tuloingia intake ile pale chuo.

Mmoja wapo nihuyu nae msimulia, dp ilikuwa picha ya ustadhat mzufi kama wale wa iraq, mweupe na kavaa mtandio, nikasema yes ngoja nipenyeze rupia hapa.

Nikamtext, hi nakufananisha na dada mmoja nlikuwa nae jeshini anaitwa fulan(zilikuwa porojo tu), naomba tuonane.

Night ikafika, dgo alikuwa anaumwa nikamchukulia juis ya embe nikasogea Maria Nyerere hostel, nikamkuta amekaa kwenye ngazi akinisubiri.

Nlikuwa disappointed kwan yule nliemdhania hakuwa yeye, sitak kukosoa alikuwa anaonekanaje but hakuwa aina ile ya wanawake napenda, binafs napenda wanawake wenye flat tummy, kuwepo na distinction kati ya tumbo na kiuno , asiwe bonge sana.

Fast forward nikamtell kuwa nimekufananisha aksema yeye sio ile ni picha tu aliweka dp nae pia hajui ni nan, tukapiga story zingine za kuhus ugonjwa wake nikampa juis, escort hadi room kwake.

Alikuja kuwa mpenzi wangu huyu mwanamke alifanya efforts kunipenda nika give in mzee mzima, tukawa tunaachana tunarudiana.

Saivi yupo kozi hapo Moshi ya upolisi, nitaenda mcheki mahafali yao i guess july au Aug, inshallah
 
Msimu mmoja wa kukaribia ue yalitolewa majina ya wanafunzi waliokwisha fanya usajiri katika excel hii ilikuwa ni wanafunzi wa bachelors tu. Yalitumwa kwa Whatsapp grup hivo kila mtu aliefanya usajiri alitakiwa ahakikishe ana appear kwa ile list.
Hii list ilihusisha programmes zote za chuo.

Hii excel ilikuwa na columns nyingi mfano form 4 index no, admission no, first,middle and last name, LAKINI kati ya columns nyingi nlizokuwa nazo kwenye excel nilipendezwa na column ya DoB, Mobile number, Programme.

Kwanza nlikuwa nataka mwanamke aliechini ya darasa langu aidha 2nd yr au fresher ,lakin pia niwe mkubwa kwake walau miaka 4 kuendelea ,lakn pia awe programmes tofaut na zile tunazo affiliate.

Nlipata kadhaa akiwemo Ashura, Diana, Zulfa, Maida, Sophia.

Kati yao wengine wakanitaa hata kuonana nao, wengine wako on date ISIPOKUWA Ashura alikuwa anakuja afu anatoka nikampiga mkwara saiv tulibak kuwa marafiki tu wa kuview status.

DIANA pekee ndie alieonesha yuko interested, tukapanga meeting night moja hivi nje ya vimbweta vya mkwawa tukaonana tukapiga story kadhaa.

The girl ni mzuri wa sura, anasauti nzuri, black beauty,nywele ndefu za singa singa anamistari myeusi kwenye macho LAKIN alikuwa anamwili mdogo mdogo sana unaweza sema yuko form 2 , so mismatch zetu nika Abort mission juu kwa juu.

Akawa rafiki yangu nikamuomba tu anifundishe STATA na SPSS tools.

That Nyambo girl was so beautiful [emoji7]
 
Back
Top Bottom