Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Niweke moja
Niweke moja ya Visa vyangu.
Ilikuwa mwaka 2019 kuna mdada alikuwa analike sana picha zangu Facebook enzi hizo najipost sana,
Sasa siku sio nyingi nikaona mdada kama ananielewa hivi ikabidi niseme inbox kuomba namba mtoto akatoa zikaanza chart za kila dakika baada ya siku kadhaa mipango ya kuonana ikaanza!
(Hapo alikuwa ashanitumia vipicha vyake kadhaa anaonekana mtoto mzuri ana kasura kazuri sana)
Siku ya kuonana live ikafika ambapo yeye ndiye alisafiri kutoka mkoani alipo kuja huku nilipo mimi tukawa tunawasiliana kila muda kujua kafika wapi...ukweli nilikuwa nimempania sana kumtafuna kiroho mbaya ila nilipofika stand kumpokea nilichoka kabisa baada ya kukuta ni kadada kafupi sana halafu kimenenepea kwa juu ila chini ni flat screen!
Yaani alichobarikiwa ni sura tu ila umbo lake baya sana yaani kafupi kanene kwa juu halafu kana kitambi niliona hata aibu kutembea naye mtaani watu wangenishangaa na nilimuonea huruma kumkimbia ikabidi nilipie lodge mitaa ya hapo stand nikahifadhi humo nikaagiza mhudumu atuletee msosi.
Tulilala humo ikabidi nilewe kwanza ndo nipate mzuka wa kukala maana vile kalivyo nilikafananisha na vitu vya ajabu.
Uzuri kalikuwa na mbususu safi na tamu halafu kitandani kanajiweza ndo kalichobarikiwa.
Kesho yake nilimpandisha basi arudi kwao baadae nikaanza kumkwepa taratibu mpaka akazoea.
 
Mtoto mmoja hivi wa mipango...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alikua too short aiseeeee.
Kawaida tu...
Nilimuweka siku hiyo hiyo.

Ila nilivoona kwa picha alikua mdada wa kawaida tu ila live live alikua mfupi mno mpaka nikaogopa
 
Acha uoga kijanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
2010. Kumbe nilikuwa nachati na mamake na siyo yeye japo nadhani walikuwa wanapokezana kutegemea na aliyekuwa na hiyo simu siku hiyo. Na kweli siku ya kuonana akaja mama yake dah!

Sitakaa nisahau japo baadaye wote watatu tuliishia kuwa marafiki sana. RIP mama Diana. Na Diana (M.D) po pote ulipo, mi bado nakukumbukeni sana wallahi! 😁😁
 
Ulifanikiwa kutafuna mama D?
 
Nililia, nilimwaga machozi pipa tatu, nikazimiaa nikajikuta nimelazwa wodi ya wagonjwa wenye upungufu wa maji mwilini chini ya usimamizi wa @DR Mambo Jambo
Inatakiwa uingie kwenye World Book of Records. Ambapo itasomeka hivi nukuu yako
=
I cried, I shed three buckets of tears, I fainted and found myself admitted to the ward for patients with dehydration under the care of Dr. Mambo Jambo.
 
Hata wanaume piaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. my story kwenye picha alikua anaonekana mrefu alafu mweupe Yan so handsome.....siku tumeonana sikuamini kama yeye nlipigwa Na butwaa kumbe Ni mfupi Na Ni mweusi tofaut Na kwenye picha
 
Sasa unashangaa nini wakati ushasema ndo haohao
hoja yake hapa ni jinsi ya kukutana kwa mara ya kwanza na kutodhania jinsi alivyomtegemea.

picha za mtandao zinadanganya; filter,editting na photoshop kibao.. ni lazima wakikutana wakimbiane tu.

ndo nikahoji kwanini wasiwafuate huku mtaani ambapo ndo kuna uhalisia zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…