Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Niweke moja
Ilikuwa mwaka 2019 kuna mdada alikuwa analike sana picha zangu Facebook enzi hizo najipost sana,
Sasa siku sio nyingi nikaona mdada kama ananielewa hivi ikabidi niseme inbox kuomba namba mtoto akatoa zikaanza chart za kila dakika baada ya siku kadhaa mipango ya kuonana ikaanza!
(Hapo alikuwa ashanitumia vipicha vyake kadhaa anaonekana mtoto mzuri ana kasura kazuri sana)
Siku ya kuonana live ikafika ambapo yeye ndiye alisafiri kutoka mkoani alipo kuja huku nilipo mimi tukawa tunawasiliana kila muda kujua kafika wapi...ukweli nilikuwa nimempania sana kumtafuna kiroho mbaya ila nilipofika stand kumpokea nilichoka kabisa baada ya kukuta ni kadada kafupi sana halafu kimenenepea kwa juu ila chini ni flat screen!
Yaani alichobarikiwa ni sura tu ila umbo lake baya sana yaani kafupi kanene kwa juu halafu kana kitambi niliona hata aibu kutembea naye mtaani watu wangenishangaa na nilimuonea huruma kumkimbia ikabidi nilipie lodge mitaa ya hapo stand nikahifadhi humo nikaagiza mhudumu atuletee msosi.
Tulilala humo ikabidi nilewe kwanza ndo nipate mzuka wa kukala maana vile kalivyo nilikafananisha na vitu vya ajabu.
Uzuri kalikuwa na mbususu safi na tamu halafu kitandani kanajiweza ndo kalichobarikiwa.
Kesho yake nilimpandisha basi arudi kwao baadae nikaanza kumkwepa taratibu mpaka akazoea.
Niweke moja ya Visa vyangu."Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kubaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani yake hadi leo. Ilitokea Arusha maeneo ya Njiro nje tu ya Njiro Complex (Bugaluu).
Mwaka 2007 kupitia mtandao wa marafiki.com niliweza kupata mchuchu mwenye asili ya kiasia na kuanza kuchat naye. Chats zilikuwa nzuri sana za kuvutia utadhani tumejuana kitambo sana. Siku tunakutana kwa mara ya kwanza nje ya Njiro Complex ndo akakata tamaa na kunijibu kama nilivyoandika kwenye aya ya kwanza. Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwenye haya maisha yangu. Bahati nzuri hakukuwa na mtu niliyeenda naye eneo la tukio kwahiyo aibu ilikuwa ni yangu binafsi.
Ila sikumchukia wala kumlaumu yule binti wa kishua kwa sababu kwa wakati ule kweli nilikuwa nimepigika haswa. Yaani nilikuwa mwembamba ila ule wembamba wa lishe duni. Kiufupi nilikuwa nimekonda. Kama unavyojua mtu mwenye njaa ndo mwenye sura mbaya kwahiyo hata mimi nilikuwa mtu mwenye sura mbaya sana kwa hisani ya NJAA. Zilikuwa nyakati ambazo kutembea kwa mguu kutoka Mianzini hadi Mbauda ni kitu cha kawaida sana. Au wakati mwingine Clock Tower - Njiro ilikuwa jambo dogo. Akitembea tajiri huwa ni matembezi ya hisani ila mimi sijui ilikuwa matembezi ya kuchochea umaskini?
Nakumbuka mwaka 2010 ndo nilipata matumaini makubwa sana baada ya manzi mmoja wa Chalinze kuniambia mimi ni handsome. Huyo manzi nilikutana naye nilipokuwa natoka Iringa kuchukua cheti cha form six.
Kimsingi baada ya tukio la 2007 nikaanza kuogopa sana kutongoza demu mtandaoni. Hadi leo nikiona manzi mtandaoni huwa hadi nifuatilie sana kumjua kiasi na sio kukurupuka.