Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Kuna bandiko nilisoma wanaeleza kuwa nguvu ya ushawishi aliyokuwa nayo nyerere ni sawa na ushawishi aliokuwa nao Hitler kwa wanazi

Pili Nyerere alikuwa anajiamini sana hivo waliona ni mtu sahihi kuwaongoza ukitaka kuamini nyerere alikuwa kiongozi mwenye ushawishi fuatilia speech zake, kuna babu zetu isingekuwa ushawishi wa nyerere hata vita ya kagera wasingeshiriki jamaa alikuwa ana ushawishi sana

Kwa zama hizi kumpata mtu mwenye wajihi wa mwalimu ni kipengele sana.
 
Uko sawa kante mp2025 kwa kuwa Uganda alikuwa mzuri kivita kwa kuwa alipata support ya Gadaffi ki silaha na kwa wanajeshi aliowaleta.

Lakini Nyerere kwenye hotuba yake alisema maneno matatu tu :-
"Sababu ya kumpiga tunayo"
"Nia ya kumpiga tunayo"
"UWEZO wa kumpiga tunao"

Yaliyofuatia hapo ni historia, maana hata Iddi Amin alipokufaa huko Saudi alizikwa na watu WANNE
 
Kwani wapi umesoma alilikuta taifa limetengana hata aliunganishe?
Si lazima kusoma kila kitu, vingine unashuhudia. Kwani Una umri gani? Inawezekana ni mkubwa tu humu JF ila hukushuhudia vijiji vya ujamaa vilivyofanya kazi. Unadhani wapare na wachaga walifika katesh na kushika maeneo kwa bahati mbaya? Na wameishi hapo na kuoleana watoto wao na kurithishana mpaka leo.
 
Uko sawa kante mp2025 kwa kuwa Uganda alikuwa mzuri kivita kwa kuwa alipata support ya Gadaffi ki silaha na kwa wanajeshi aliowaleta.

Lakini Nyerere kwenye hotuba yake alisema maneno matatu tu :-
"Sababu ya kumpiga tunayo"
"Nia ya kumpiga tunayo"
"UWEZO wa kumpiga tunao"

Yaliyofuatia hapo ni historia, maana hata Iddi Amin alipokufaa huko Saudi alizikwa na watu WANNE
Mwalimu alikuwa ana ujasiri wa ajabu sana na pia alikuwa na nguvu ya ushawishi kupitia speech zake uwezo wake wa akili ulikuwa mkubwa pia

Leo hii imagine ikatokea kuna vita ambavyo wananchi pia wanapaswa kushiriki unahisi kiongozi gani atakuwa na nguvu hiyo ya kuwashawishi watu wapambane.

Kama taifa bado tuna hitaji kuwa na viongozi wengi wenye haiba ya mwalimu , Mwalimu alikuwa mtu wa maana kabisa pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu.
 
Kumsaidia ndiyo kugombea naye uongozi? Si angejitoa? Huu ni uongo

Huyo babu fix sana. Badala ya kusema ameshindwa anasema amemsaidia. Unajua maana yake ni kuwa bila kujitoa Kambarage asingeweza kuwa Rais. Uongo wa huyo babu umepitiliza level za kawaida za uongo.
Imagine, kuna watu wanaamini hayo mazingaombwe yake pia 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mwalimu alikuwa ana ujasiri wa ajabu sana na pia alikuwa na nguvu ya ushawishi kupitia speech zake uwezo wake wa akili ulikuwa mkubwa pia

Leo hii imagine ikatokea kuna vita ambavyo wananchi pia wanapaswa kushiriki unahisi kiongozi gani atakuwa na nguvu hiyo ya kuwashawishi watu wapambane.

Kama taifa bado tuna hitaji kuwa na viongozi wengi wenye haiba ya mwalimu , Mwalimu alikuwa mtu wa maana kabisa pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu.

By the way, tumeshajifunza kumpa madaraka mtu msela au mtoto wa mjini, ni kujiletea maumivu wenyewe. Lazima kiongozi awe na sifa sahihi za kuongoza.

Sio lazima awe kipenzi cha wengi ambao wanatafuta mtu maarufu, badala ya kutafuta kiongozi thabiti. Kwenye mambo magumu, kama kiongozi ni legelege, tunaweza kupoteza tunu zote nzuri za Taifa letu.

Lazima kiongozi awe ni mtu anayejitambua na anayejari hatma ya Taifa letu. Sio kuendekeza utajiri na maslahi ya familia yake na rafiki zake tu
 
Kuna bandiko nilisoma wanaeleza kuwa nguvu ya ushawishi aliyokuwa nayo nyerere ni sawa na ushawishi aliokuwa nao Hitler kwa wanazi

Pili Nyerere alikuwa anajiamini sana hivo waliona ni mtu sahihi kuwaongoza ukitaka kuamini nyerere alikuwa kiongozi mwenye ushawishi fuatilia speech zake, kuna babu zetu isingekuwa ushawishi wa nyerere hata vita ya kagera wasingeshiriki jamaa alikuwa ana ushawishi sana

Kwa zama hizi kumpata mtu mwenye wajihi wa mwalimu ni kipengele sana.
Ni watu tu walikuwa wajinga na wametoka kutawaliwa na mzungu so yakatokea ya kutokea, watu kudumazwa na mwenge n uongo uongo mwingi, akija saa hii hapati hata ujumbe wa nyumba kumi
 
Uko sawa kante mp2025 kwa kuwa Uganda alikuwa mzuri kivita kwa kuwa alipata support ya Gadaffi ki silaha na kwa wanajeshi aliowaleta.

Lakini Nyerere kwenye hotuba yake alisema maneno matatu tu :-
"Sababu ya kumpiga tunayo"
"Nia ya kumpiga tunayo"
"UWEZO wa kumpiga tunao"

Yaliyofuatia hapo ni historia, maana hata Iddi Amin alipokufaa huko Saudi alizikwa na watu WANNE
Huu ni uongo na uzandiki, nyerere na tanzania alisaidiwa na uingereza ndio kumpindua Idi amini, na sote tunajua Amin aliondolewa kwa ajili ya udini tu

Kuzikwa na watu wanne, kumi, elfu, laki sio wema wala ubaya, kuna ambao hawazikwi na miili haionekani kabisa
Ukute alieliwa na simba yupo mbinguni na aliezikwa na maelfu ya watu yupo jehannam
 
Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.

Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.

Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Ushindi wa mzee Nyerere ktk kitu cha uenyekiti TANU kumshinda syskes unatokana na ushauri wa kiisntelijensia wa tanu.

Ktk siasa tokea dahari ushindi kwa mgombea hautokani na uwingi wa kura. Bali chama Chenye intelijensia bora ndicho hushinda.

Ktk uchaguzi wa mwaka kesho chama Chenye intelijensia bora kushinda siku ile baraza kuu au halmashauri kuu linapopeleka Jina la mgombea aliyependekezwa na intelijensia bora, yenye viwango ya chama.

Kwa ujumla mzee Nyerere hakuwa na ushawishi wowote wa kumshinda sykes.

Ukizingatia kuwa wakati waislam wanapambana na wakoloni, wakristo walikuwa wakiwatetea wazungu na kusali kanisa moja.

Pili hili ni somo kwa ndugu wakristo na hasa wale intelijensia ya chadema kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu

Kwani Leo tuna mkoloni mweusi ccm.

Na kama wakati wa kupigania uhuru waislam walivyopima na kuona bila ya kumtanguliza mkatoliki hawatotoboa. Ni wakati kwa chadema kutumia mbinu hiyo hiyo.

Bila kumtafuta mwenyetiki mpya au makamu muislam mwenye ushawishi kama waislam wakati wa uhuru walipoamua kwenda kuchomoka Nyerere kule Pugu, hivyo hivyo pamoja na nguvu ya kilutheli chadema uwingi wao. Hawatotoboa kumuondoa mkolono mweusi ccm hadi bila ya kumtanguliza muislam.

Muislam wenye ushawishi. Muislam anayeungwa mkono kutoka mikoa yote ya ukanda wa mwambao.

Binafsi naweza kuwashauri wakihitaji
 
Wazee ndani ya chama kipindi hicho hawakuwa na mlengo wa kimakundi kama siasa za siku hizi.

Kipindi hicho dhima na mikakati ya chama ilikuwa ni kudai uhuru. Hivyo alihitajika kiongozi mwakilishi msomi na mwenye kuweza kusimamia kile anachotamka kwa hoja zenye nguvu. Kwa muktadha huo, ni wazi Sykes asingetosha kuvaa kiatu na athubutu kama kiongozi msomi Nyerere.

NB; Siioni mantiki ya kuichepusha hii mada kwenye malumbano ya dini.
Halafu ieleweke wazi Nyerere alikuwa na connection kubwa ya wasomi wenzie ambao nauhakika Sykes wengi hakuwa akiwafahamu kiundani ukiachana na motive kubwa iliyokuwa ikitoka kwa wazee wa kiislam kutoka k/koo. Na nnaamini wazee hawa hawakuutanguliza uislam wao mbele kama jinsi anavyo tuaminisha mzee Mohammed Said kwenye machapisho yake.
 
Huu ni uongo na uzandiki, nyerere na tanzania alisaidiwa na uingereza ndio kumpindua Idi amini, na sote tunajua Amin aliondolewa kwa ajili ya udini tu

Kuzikwa na watu wanne, kumi, elfu, laki sio wema wala ubaya, kuna ambao hawazikwi na miili haionekani kabisa
Ukute alieliwa na simba yupo mbinguni na aliezikwa na maelfu ya watu yupo jehannam

Udini gani mnaouongelea? Kwani nyie wenye dini ya Idd Amini mlikuwa wapi kumsaidia? Kinachonisikitisha ni kuamini mambo ya kijinga kijinga kirahisi rahisi tu.

Kuna dhana ya kulipiza rafiki yake Obote kupinduliwa. Hii ina mashiko kuliko ya kuchukia dini ya Idd Amini. Ni ujinga mwingine mkubwa ambao wajinga wengine wameubeba na wanatembea nao.

Kumbuka, hali ya miaka ya sabini sio hali iliyopo leo. Udini gani mnaouongelea leo hii miaka karibu 45 iliyopita?
 
Back
Top Bottom