Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Ndiyo hasara ya kuwa na usalama wa Taifa ambao kazi yake ni kuilinda CCM ibakie madarakani badala ya kulilinda Taifa.
Kati ya Taasis zinazotakiwa kuvunjwa na kuundwa upya hii inaongoza

Kuna mawaziri na manaibu waziri kwenye wizara ni vichefuchefu kweli na hawana mchango wowote positive kwenye maendeleo ya sekta zao ila kila ukiona cabinet reshuffle unawakuta wapo palepale wakati kuna wabunge wengi wenye uwezo mkubwa wanaachwa
 
Ndiyo hasara ya kuwa na usalama wa Taifa ambao kazi yake ni kuilinda CCM ibakie madarakani badala ya kulilinda Taifa.
Wewe una uhuru sana wa kusema sema hongera sana. Una clearance gani mpaka uwe unajua kila kinacholindwa au ndio umekaa kuimba mapambio ya Ufipa.
 
Mbunge gan mwenye uwezo kaachwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…