Kati ya Taasis zinazotakiwa kuvunjwa na kuundwa upya hii inaongoza
Kuna mawaziri na manaibu waziri kwenye wizara ni vichefuchefu kweli na hawana mchango wowote positive kwenye maendeleo ya sekta zao ila kila ukiona cabinet reshuffle unawakuta wapo palepale wakati kuna wabunge wengi wenye uwezo mkubwa wanaachwa
Mbona mama hajapiga picha na Biden? Anapiga na chawa wa Biden tu🤣Tatizo ni kupiga picha na Biden? Ila kiAfrrika hilo ni kosa
Fact kabsaViongozi wengi wa Kiafrika hupenda kufanya kazi na wale wasaidizi wenye akili za kichawa! Ukiwa ni mtu smart na usiyependa uswahili na ubabaishaji, wanakuona snitch.
Chura anamzaa chura, ccm ni ukoo wa panya huo siku zote Kairuki, Simbachawene, Muhagama, sijui Lukuvi na aila zaoSasa huyo Kairuki aliye feli Wizara zote ana IQ gani ktk TAMISEMI??
kweli kabisaaa...si unaona wamekupa like wachache sana...wasio wachoyo....lkn robo tatu na nusu ya wabongo weusi nik ijicho tupu hao ndo damu za wauza watumwawabongo wengi tuna wivu na kijicho(husuda/husda)
Mabeberu ni neno linalotumiwa na washamba waliopotea na wakati wakiongozwa mwehu mwendazakeIkumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
View attachment 2375504
View attachment 2375505
Hajawahi pamoja na safari zake za kila kukicha US.kwa hiyo Samaya hakupiga picha na Biden pamoja na mkewe!? ila waziri alipiga nao picha!?
mwenye picha ya Samaya,Biden na mkewe ailete.
kweli kabisaaa...si unaona wamekupa like wachache sana...wasio wachoyo....lkn robo tatu na nusu ya wabongo weusi nik ijicho tupu hao ndo masalia ya damu za wauza watumwa.ndugu zao....wazungu wanawaonea tu.....tulijiuza sisi wenyewe.....mpaka mzungu akaogopa akawa achia huru.....akaja km mkoloni kuwatawala wale wale wenye roho za kwa nini...yeye binafsi....ndo km haowabongo wengi tuna wivu na kijicho(husuda/husda)
Watu hawajali IQ , my friend, wanajali sura nzuriSasa huyo Kairuki aliye feli Wizara zote ana IQ gani ktk TAMISEMI??
Mahaba yanakupa upofu mkuu.Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile.
| Ambassador Liberata Mulamula |
|
Ambassador Mulamula is the Associate Director for the Institute for African Studies, and a career diplomat with 35 years of experience having served in various capacities at the Tanzania Ministry of Foreign Affairs and its Diplomatic missions in New York (Permanent Mission to the UN), Canada and the USA. She also served as the first Executive Secretary of the International Conference on the Great Lakes Region of Africa for Peace, Stability and Development with headquarters in Bujumbura, Burundi. In this position, she oversaw 11 countries from 2006-2011. Before retirement in April 2016, her other senior posts included the executive ministerial post of Permanent Secretary of the Tanzania Ministry of Foreign Affairs (May to December 2015). She provided managerial and administrative leadership to the Ministry’s staff and Tanzania Diplomatic Envoys abroad. She was also the Tanzania Ambassador to the United States of America and Mexico (July 2013 to May 2015), having served as Special Advisor to His Excellency President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania on all Diplomatic matters (2012-2013). While at the State House, she successfully coordinated the visits of President Xi Jiping of China and President Barack Obama to Tanzania in July 2013, as well as the visits of other heads of state and high officials. She attended all cabinet meetings and prepared policy briefs for the President, and aided the implementation of cabinet decisions in areas of international partnerships in order to achieve the country’s development goals. During her tenure in Washington as Tanzania Ambassador to the USA, Ambassador Mulamula participated actively in the preparations for the first U.S.-Africa Summit on the partnership for economic growth. This summit also focused on strengthening mutual cooperation between the countries in areas of investment and trade. She also assisted the implementation of various programs that are funded by U.S. development agencies and institutions including the Millennium Challenge Compact, the Power Africa Initiative, the Feed the Future Program, the Scaling Up Nutrition Movement, the U.S President’s Emergency Plan for AIDS Relief, the President’s Malaria Initiative, maternal and child health care initiatives, among numerous others. She has attended the successive AU Summits, UN General Assembly sessions in New York and other multilateral gatherings, as well as various regional meetings and initiatives on peace and sustainable development. Ambassador Mulamula is a graduate of St. John’s University in New York where she obtained an M.A. in Government and Politics, as well as a postgraduate diploma in International Law. She received her B.A. in Political Science and International Relations from Dar-es Salaam University of Tanzania. She was adjunct lecturer on the “Art of Negotiations” at the Tanzania-Mozambique Center of Diplomatic Studies. In addition to her role as Associate Director of IAfS, she is also a Visiting Scholar at the George Washington University, Elliott School of International Affairs. Her primary area of interest is Women and Leadership in Africa. Moreover, she is a member of the Board of Overseers, School of Diplomacy and International Relations, Seton Hall University (New Jersey, USA); Board Member of the Bukoba Development Foundation (BUDEFO); Member of the Advisory Board of Madaktari Africa; Budapest Board of Trustees of the Foundation for the International Prevention of Genocide and Mass Atrocities; Genocide Prevention Advisory Network (GPANet); Member of the Women Mediation Network of the Great Lakes Region; Patron of Miss Tanzania-USA; and more. Ambassador Mulamula is a Recipient of the Order of the United Republic of Tanzania 2015 Award for Distinguished Public Service. She is married to Mr. George Mulamula and they have two children, Tanya and Alvin. Source : Ambassador Liberata Mulamula |
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya. Hapo Kamala yuko wapi? Au siku hizi amekuwa blonde?Alafu mbona Balozi Mulamula kaegemea sana upande wa Baiden kuliko upande wa Kamala ambae ni Mwanamke mwenzie!!??
Si uwatetee wewe mbona hapa una kiherehere?Na hili jambo liko wazi kabisa. Kiukweli mtaani hali ni tete! Wananchi wengi wanalia, halafu hakuna mtetezi.
Wapo wengi sana kina Neema Lugangira, kunambi, Charles Kimei, Ng'wasu kamani, Hussein Mwinyi, Daniel Sirro, Deo Mwanyika, Sospeter Muhongo na wengineo wengiMbunge gan mwenye uwezo kaachwa?