Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Kuna jamaa mmoja( lile kabila bahili kabisa) alikua anafanya biashara ya mbao kitaani,
Za chini chini zikaanza kuenea kuwa jamaa anamtafuna mke wa rafiki yake ambaye pia ni mfanyabiashara wa mbao

Basi jamaa mwenye mke aliandaa safari ya mtego kuwa anafata mbao porini huko atakaa kama wiki mbili hivi

Huku nyuma tena siku ile ile jamaa likaenda kwa jamaa kula uroda , wapambe walikua kazini wakamtonya jamaa akaja chapu na mabaunsa wako full equiped na futa mgando

Inasemekana walikua mabaunsa watatu ,walimchimba choo jamaa sanaa mpaka chumba chote kikajaa nnya tu,

Alafu wakamuachia jamaa kwa aibu hakuripoti akakimbilia kwao kama miaka mitatu hivu baadae akarudi . FUNZO habari mbaya haiishi kabisa mana aliporudi tu stori zikaanza upyaaaa hata ambao walihamia mtaani wakapewa habari alitafunwa trako yule jamaa

Kwa sonona alijinyonga baada ya miaka mitatu ya tukio.

Nyie mnaokula wake za watu mnaamini wenzenu waliofumaniwa ni wajinga na hawana mbinu ila yakiwafika mtaomba Mungu na miungu yote
92407760a1bfbb341a8706740ab01362.jpg

"Ebu geuka fala wewe haukusikia mke wa mtu sumu"
 
Kwenye zama hizi za uzinzi na JF iliyosaidia kuondoa stress, kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana.

Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa tamaa ya muda mfupi. Wapo waliokula kimasihara hata kwa wadada wadogo au single. Je, kwa mke wa mtu, ilikuwaje?
Wanawake wanaficha uchafu mwingi kuliko hata sisi wanaume.
Kumbuka wao wanawindwa hasa na wenye visu vikali
 
Wanawake walio kwenye ndoa wanastress sanaa.
 
Alimfuata mumewe. Jamaa yangu kijiweni kwa mangi akamkuta jamaa America. Akachukua kinywaji chake akamalizia. Baada ya hapo akaniachia namba ya simu kwamba jamaa akiamka nimcheki aje amfuate. Baada ya pale mawasiliano yakaendelea . Mzee akasafiri nikaotwa nyumbani. Namkuta qmevaa kinguo kifupiiii. Usiku. Akaniambia nikalete baba kubwa na safar mbili tunywe Mama weeeee
 
Maisha ya Ubachela bhana, nimepanga zangu Kinondoni nyumba niliyokuwa naishi mimi pekee ndiye niliyekuwa sina mke, siku moja nimeamka Alfajiri kuwahi mishe zangu kariakoo kuchukua mzigo ile natoka ndani kwenda nje kupiga mswaki alfajiri namkuta mke wa jirani yangu anafagia uwanja mumewe ni dereva wa malori ya kwenda nje huko, mwamba nimepiga taulo kitu kipo kwenye hewa dada wa watu Ana Upwiru sijui wa mwezi kajifunga kitenge tu kifuani dah yaani sikupata tabu, niliongea neno moja tu vp shem choma ndani upate cha asubuhi, nilikula mbususu Acha tu baada ya mwezi nilihama kuogopa kutafunwa mimi 😂
 
Back
Top Bottom