Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Mwana kilingeZipo sana hizo! Hata last week tulipiga tukio Kibondo.. Mvua ilinyesha with 1km tuu
Nawaza kumtafuta huyo msanii kama dawa hiyo haina masharti magumu ni nzuri sana. Nimewahi ndegu zangu kunyeshewa na mvua na kupata hasara kubwa ndani ya nusaa tuZipo sana hizo! Hata last week tulipiga tukio Kibondo.. Mvua ilinyesha with 1km tuu
Dawa hizi ni muhimu kuwa nazoWako vzur
Nipo chairman
Kwani kuna shida mkuuHizi mada huwezi kukosa komenti ya Mshana
Nasikia usipojizatiti vzur kuna wakat huwa wanazidiwa na hzo mvua hvyo unaweza hata kufaDawa hizi ni muhimu kuwa nazo
Kama nakuona vile...Zipo sana hizo! Hata last week tulipiga tukio Kibondo.. Mvua ilinyesha with 1km tuu
HahahahaKama nakuona vile...
Sijui kuhusu hilo ngoja siku nikiamua kufuatilia kwa gharama yoyote bila shaka nitaambiwaNasikia usipojizatiti vzur kuna wakat huwa wanazidiwa na hzo mvua hvyo unaweza hata kufa
N mwenyeji wa huko mkuu. Bukugu kuna fisi alikutwa na simu mwingine shanga,rozali na wengine wengi wana hirizi na namba.Mzee bukungu napajua mwaka 2020 waliua fisi anashanga halafu na hii ya lushimba nimeisikia .
We jamaa unaishi hapa kharumwa
Kweli wewe mwenyeji wa huku aise hafi kanegele na bumanda unapajuaN mwenyeji wa huko mkuu. Bukugu kuna fisi alikutwa na simu mwingine shanga,rozali na wengine wengi wana hirizi na namba.
Bumanda -kangele walikuta ana mkoba wenye matunguli
Mimi ni Mzaliwa mganza chato mkuu hivyo maeneo hayo niliyotaja huwa naenda kila mara japo kwa sasa siishi mganza wala msalala nipo geitaNikifa mke wangu asiolewe unaishi nyangh'wale .
Kiufupi wasukuma na ushirikina ni pete na kidole .Mwaka jana hapa kharumwa uwanja wa sabasaba alipiga shoo kisima majabala aise ilitinga bonge la mvua lakini haikunyesha.
Ukienda huko itirima simiyu huko ndipo kuna zizi la waganga yani hapq nyumba hapa mganga.
Huko pote mkuu kuna siku aliliwa mtoto ndo nafika tu saa12 jioni nikasikia yowe kufika eneo la tukio mtoto kavuliwa nguo vizuri na akaliwa ajabu sana aseeKweli wewe mwenyeji wa huku aise hafi kanegele na bumanda unapajua