Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Budagala sijui gude gude wale wasanii wote wa kisukuma wa nyimbo za asili ni washirikina hatari.Hiyo ya kuzuia mvua kafanya sehemu nyingi nasikia alifanya na keko pia kwenye hizo mambo wanaita mbina
 
Wasanii wao kazi yao ni kuwaimba waganga mfano gude anamganga wake anaitwa mwananengo, kisima anamganga wake anaitwa mwanankanda
Sio Mwana ni Ng'wana yaani Ngw'ana Nengo na Ngw'ana Nkanda
 
@nikifa mke wangu asiolewe na nduguyo shuka chini nina jambo la muhimu na ni muhimu tukalijadili pm, nitafuteni huko.
 
Back
Top Bottom