Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #121
Sana lile tukio liliniacha na mdomo wazi.Pole Yao wazazi iliwaumiza Sana!!
Sana lile tukio liliniacha na mdomo wazi.Pole Yao wazazi iliwaumiza Sana!!
Hata wazaramo wanafuga mamba mkuu nimewahi kuishi pwani kisarawe kandokando ya mto ruvu yaani GwataWana mambo ya kichawii sanaa soma maoni ya wadau watakwambia pia hata ukerewe wenyewe wanafugaga mamba.
Wanafugaga fisi na mamba watu
SanaDuh! Dunia ina mambo
Ile clip niliona pia jamaa akasogeza wingu uwanjani watu wakaendelea na burudaniHuko kote mbali,juzi shinyanga tukio la waendesha baiskel wakishindana sijui uwanja wa kambarage,jua lilikuwa kali akatokea mtu akasema napunguza makali ya jua ili watu wapate burdani,aisee na kweli jua lilipoa.
Kanda ya ziwa hasa shinyanga mkuuHayo maeneo ni ya wap, wilaya
Toa ushuhuda hapa watu wajifunze kituHizi mambo zipo laivu natamani kutoa ushuhuda hata ukiomba kwa iman yako inatokea ilishawahi kunitokea nashindwa tu kusimulia ilikuwaje ila mvua ilifunga wiki hadi tukio langu lilipoisha na ulikuwa msimu wa masika watu hawakuamini lakini sina mambo ya chichini chini msije mkaniogopa
Tunasubiri ushuhuda...Hizi mambo zipo laivu natamani kutoa ushuhuda hata ukiomba kwa iman yako inatokea ilishawahi kunitokea nashindwa tu kusimulia ilikuwaje ila mvua ilifunga wiki hadi tukio langu lilipoisha na ulikuwa msimu wa masika watu hawakuamini lakini sina mambo ya chichini chini msije mkaniogopa
akipita na mguu ni mazima kwel.Sijawahi kumuona ila nasikia ana meno makali kuliko wanyama wote!
hakakufa sema wachawi hupoteza ushahd kwa mazingira ya utata, ila ukwel mtoto anachukuliwa msukule.Katoto kalikufa kwa maumivu makali Sana!!
sio wasukuma tu kila kabila, nenda tanga, kigoma sumbawanga.Hivi kwanini wasukuma wachawi hivi?
Sasa kitoto wanaenda kukifanyia Nini Zaidi ya kukaua?hakakufa sema wachawi hupoteza ushahd kwa mazingira ya utata, ila ukwel mtoto anachukuliwa msukule.
Akiba hiyo ya kesho, katakua kanatumikishwa au kufunzwa uchawi na kuagizwa baadhi ya kaziSasa kitoto wanaenda kukifanyia Nini Zaidi ya kukaua?
Ndo maana tumeelekezwa kuwaua wachawi!Akiba hiyo ya kesho, katakua kanatumikishwa au kufunzwa uchawi na kuagizwa baadhi ya kazi
Ndo maana tumeelekezwa kuwaua wachawi!Akiba hiyo ya kesho, katakua kanatumikishwa au kufunzwa uchawi na kuagizwa baadhi ya kazi
ndo hvo vifo vingi asirimia 80% ndan ya aridhi yetu, vimesababisha na wachawi na sio mapenz ya muumba.Ndo maana tumeelekezwa kuwaua wachawi!
Hatari sana mimi ndiyo maana naogopa kwenda vijijinisio wasukuma tu kila kabila, nenda tanga, kigoma sumbawanga.
tofaut yake wanatofatiana mbinu
Mazingra ya kijijn mazur pia upepo mwanana na panafaa kwenda kupumzka kuondoa stress... Sio pa kukaa siku mingi kama ni ndugu nenda kwa kuwashtukza na cku ya kurud washtukize..Hatari sana mimi ndiyo maana naogopa kwenda vijijini
Hatari sana mimi ndiyo maana naogopa kwenda vijijini
Hakika mkuu maana kuna mambo mengi mno vijijiniMazingra ya kijijn mazur pia upepo mwanana na panafaa kwenda kupumzka kuondoa stress... Sio pa kukaa siku mingi kama ni ndugu nenda kwa kuwashtukza na cku ya kurud washtukize..