Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Pambana tuu hakuna namnaDah asante maana hapa napoish mm ndo kama beki 3 sasa
Pambana tuu hakuna namnaDah asante maana hapa napoish mm ndo kama beki 3 sasa
Una mjua mnyama FISI hanaga msalia mtume yule.Mtoto alikufa au walimuwahi?
Sijawahi kumuona ila nasikia ana meno makali kuliko wanyama wote!Una mjua mnyama FISI hanaga msalia mtume yule.
Hakuna mfupa mgumu mbele ya fisiii 😊Sijawahi kumuona ila nasikia ana meno makali kuliko wanyama wote!
Katoto kalikufa kwa maumivu makali Sana!!Hakuna mfupa mgumu mbele ya fisiii 😊
Wana mambo ya kichawii sanaa soma maoni ya wadau watakwambia pia hata ukerewe wenyewe wanafugaga mamba.Katoto kalikufa kwa maumivu makali Sana!!
Hao ni fisi watuN mwenyeji wa huko mkuu. Bukugu kuna fisi alikutwa na simu mwingine shanga,rozali na wengine wengi wana hirizi na namba.
Bumanda -kangele walikuta ana mkoba wenye matunguli
Huyo mtu inabidi atafutwe kipindi cha kiangazi awe anapunguza makali ya juaHuko kote mbali,juzi shinyanga tukio la waendesha baiskel wakishindana sijui uwanja wa kambarage,jua lilikuwa kali akatokea mtu akasema napunguza makali ya jua ili watu wapate burdani,aisee na kweli jua lilipoa.
Oooh kumbeNa fisi Kwa kuvuliwa nguo yaani nguo hazikuwa na tone hata Moja la damu
Hivi kwanini wasukuma wachawi hivi?Vijiji vingi usukumani hayo mambo yapo sana
👐👐👐😂😂 Saiv yupo hspitali ya sengerema pale kwaajili ya upako kwa wagonjwa ni mtu mmoja powa sanaa mfuasi haswaa wa mzee magufulBilingi ananijua na alikuwa rafiki yangu sana hata Sasa tulikutana msibani kafita kama unapajua kama miaka2 miwili tu imepita tuluongea na kuniasa mengi sana.
Ni kati ya mapdree walioondoka bila skendo chafu yoyote.
zikoje hizo mbina?Ukienda Simiyu kuna kitu wanaita mbina kama sijasahau, asee ukifika kwenye hiyo mishe utaona vitu ambavyo unasomaga kwenye vitabu.
Hayo maeneo ni ya wap, wilayaHuku kuna wasanii wao maarufu yupo kisima,bhudagala,gudegude tajiri wa maluho,limbu luchagula,logeti na wengine wengi .
Sasa hawa wasanii wao wanarogana sana aise kunatukio moja gude alikuwa anafungua gesti yake hapo segese sasa akamualika kisima .Gude akajiangusha chini ili kisima amuinue jamaa akausoma mchezo .Maana yake kama kisima angemuinua gude basi kisima nyota yake ingechukuliwa.
Hadi leo kisima na gude hawapatani.
Nakubali👐👐👐😂😂 Saiv yupo hspitali ya sengerema pale kwaajili ya upako kwa wagonjwa ni mtu mmoja powa sanaa mfuasi haswaa wa mzee maguful
Kama Lukondya niliwahi muona ila kama huyo wako jina kwangu geni.Malehemu Mjomba wangu(mwana lukundekeja au wamiligo), alikua mcheza ngoma. Mkazi wa maeneo hayo wilaya nyang"whale.
Alikua na maajabu pia. Moja nililoshuhudia.. Alipita jamaa anaendesha baiskel bila kusalim, alichofanya mjomba alimnyoshea mkono tu, jamaa alidondoka kule mbele.
Nilshangaa sana
Ndo hivyo sasa hata ukute mlokole vipi ukimzingua anaomba upako kwa shangazi,mama mkubwa mjomba baba na wajomba lazima ukubali tu.Nipo nae mwaka wa 9 huu mkuu kawa kama mtoto wetu...
Kuna siku waligombana na jirani kwny biashara zetu ni mtu mzima kidogo huyo jirani sema ni mkorofi madharau na kujifanya yeye ndo yeye...so msichana wangu akamwambia cheza na mimi nikugeuze mamba...😁😆😆😁nikaogopa nikamuuliza how? Mbona maneno ya kutisha haya akasema hamna mimi siwezi ila nikitaka kumfanya lolote naweza kumwambia tuu mjomba akamaliza...nikasema Nahene lolo...😅😅
Sikujua wacha tuendelee kuona mengina uwe na kinga ya mwili kwelikwel.
Bora dawa ya kuita mvua, kuliko kuzuia ni hatari nguvu za hapo unazoshindana nazo