Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Duuh kweli dunia ina mamboUkienda Simiyu kuna kitu wanaita mbina kama sijasahau, asee ukifika kwenye hiyo mishe utaona vitu ambavyo unasomaga kwenye vitabu.
Mkuu kwenye miaka ya 2018-19 Watoto waliliwa sana na fisi maeneo hayo. Nilihusika kama mayowe 3 Hivi hata nilipoondoka waliendelea kuliwaBumanda hm dah.umesema ukweli mkuu hukujakisea
OK sawa pengine hukuelewa dhima yanguNimeona ukieleza aina za uchawi, mwisho ukawaambia wasomaji aina ipi wangependa kuijua,
Sasa sikuona popote ukiihubiri au kuwaambia kuhusu habari njema za injili,
Hapo unatoka nje ya mstari
Jambo usilolijua mkuu ni kama usiku wa Giza zitoWala hakuna maajabu yoyote sema wewe hujui vitu baazi lakini ni rahisi sana
Sahihi nalekebisha mkuubudaghala
Nihatarii kwenye milima ndo wanadai fis wanakaa ila kiuhalisia fisi wanazo watu majumban kwaoo .kulikua na padri mmoja pale nyarubele anaitwa bilingi aliwah kuwaambia waache hizo mbanga zao walimtupia makombora 😂😂 akaomba yaishe ye atahubiri injili na waoo waendele na mambo yao.zle fisi nihatarii zna vua watoto nguo kwanza ndo znawala .unakuta nguo haijaachanwa popote ila mtoto hayupoMkuu kwenye miaka ya 2018-19 Watoto waliliwa sana na fisi maeneo hayo. Nilihusika kama mayowe 3 Hivi hata nilipoondoka waliendelea kuliwa
Madawa Bado yapo ila ukiwa Mjini pekee huwezi kubaliInawezekana,kuna clip niliona ya mashindano ya baiskeli shinyanga jamaa kazuia jua uwanjani...yaani ukicheki pembeni jua linagonga hatari ila pale uwanjani kuna wingu limezuia jua..
Hizo nyayo zinasemekana ni Ng'wanamalunde Ntemi wa bhasukuma.Huko lake zone Kuna mpaka nyayo za watu kwenye mawe,
Miaka ya zamaaniii sinema ya vitambaa Kijijini kwetu waliwai kuiloga jenereta linagoma kuwaka au linawaka na kuzimaa watu wakitawanyika inakaa sawa wakirudi mchezo ule ule..
Wapo KULE mpaka Wazika wazima yaan unakufa kiutatata utata
Bilingi ananijua na alikuwa rafiki yangu sana hata Sasa tulikutana msibani kafita kama unapajua kama miaka2 miwili tu imepita tuluongea na kuniasa mengi sana.N
Nihatarii kwenye milima ndo wanadai fis wanakaa ila kiuhalisia fisi wanazo watu majumban kwaoo .kulikua na padri mmoja pale nyarubele anaitwa bilingi aliwah kuwaambia waache hizo mbanga zao walimtupia makombora 😂😂 akaomba yaishe ye atahubiri injili na waoo waendele na mambo yao.zle fisi nihatarii zna vua watoto nguo kwanza ndo znawala .unakuta nguo haijaachanwa popote ila mtoto hayupo
Hii nilisikia tu Kwa wadau maana Huwa sifatilii sana hizi miziki yaoHuku kuna wasanii wao maarufu yupo kisima,bhudagala,gudegude tajiri wa maluho,limbu luchagula,logeti na wengine wengi .
Sasa hawa wasanii wao wanarogana sana aise kunatukio moja gude alikuwa anafungua gesti yake hapo segese sasa akamualika kisima .Gude akajiangusha chini ili kisima amuinue jamaa akausoma mchezo .Maana yake kama kisima angemuinua gude basi kisima nyota yake ingechukuliwa.
Hadi leo kisima na gude hawapatani.
Mambo yako hayo nilijua tu nitakuluta hapa hahaZipo sana hizo! Hata last week tulipiga tukio Kibondo.. Mvua ilinyesha with 1km tuu
Hao waganga ndo wadhamini wao yaani wanawawezesha Kwa madawa na pesa hasa anapokuwa ndo anaanza ni sawa na wakina faly ipupa kumuimba Pedeshe Erick mandala😹😹Wasanii wao kazi yao ni kuwaimba waganga mfano gude anamganga wake anaitwa mwananengo, kisima anamganga wake anaitwa mwanankanda
Sijawahi fika huko mkuu..tupe uzoefu wakoIna zidi handeni kwa msisi kweli
Ishi Kwa amani kama upo nae vizuri Wala hawana shida kabisa ila ukileta njau hata kama sio mchawi kule dawa Wana adhimishana kama CHUMVI tu hakuna mashart ila uwe na Siri tu. Hadi anafikia hivyo ujue Kuna mawili wewe mwenyewe umemjaribu kichawi au unamtesa yaani manyanyasoNi kweli nimemuuliza msichana wangu wa kazi kasema hiyo sio habari huko kwao...😄😄😄
Ukute na sisi hapa tunapaishwa usiku
HahahahaMambo yako hayo nilijua tu nitakuluta hapa haha
Mbona uchawi Huwa unafanyika hadharani kabisa Kila upande wanalingana mchana kweupe na kutambiana ninyi hamna dawaUkienda Simiyu kuna kitu wanaita mbina kama sijasahau, asee ukifika kwenye hiyo mishe utaona vitu ambavyo unasomaga kwenye vitabu.
Mtoto alikufa au walimuwahi?Huko pote mkuu kuna siku aliliwa mtoto ndo nafika tu saa12 jioni nikasikia yowe kufika eneo la tukio mtoto kavuliwa nguo vizuri na akaliwa ajabu sana asee
hiyo dawa sio mchezo mkuu, wingu likikuzidia nguvu utapasuliwa na radi.Nawaza kumtafuta huyo msanii kama dawa hiyo haina masharti magumu ni nzuri sana. Nimewahi ndegu zangu kunyeshewa na mvua na kupata hasara kubwa ndani ya nusaa tu
Aliliwa na nini mkuu?Huko pote mkuu kuna siku aliliwa mtoto ndo nafika tu saa12 jioni nikasikia yowe kufika eneo la tukio mtoto kavuliwa nguo vizuri na akaliwa ajabu sana asee