Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Zipo sana hizo! Hata last week tulipiga tukio Kibondo.. Mvua ilinyesha with 1km tuu
3E3EE33C-ACD6-4178-8F2C-7B659D3DDBE5.jpeg
 
Kumbuka Kristo alikuja duniani kwa wadhambi na si watakatifu
Nina episode nyingi nikiwa na watenda dhambi wa kaliba tofauti.. Ninawapa uzoefu wangu kwenye jambo husika kisha nachapa injili.. Hii mbinu imenisaidia sana kuwaokoa wengi
Nimeona ukieleza aina za uchawi, mwisho ukawaambia wasomaji aina ipi wangependa kuijua,

Sasa sikuona popote ukiihubiri au kuwaambia kuhusu habari njema za injili,

Hapo unatoka nje ya mstari
 
Ho
Nimemwita homeboy sababu kupitia story humu ndani tukajuana wilaya moja kaskazini magharibi mwa TANZANIA nilisoma O-LEVEL hukoooo kwaio lika na watu wengi pale wilayani tunajuana.

So shuka chini, ni HOMEBOY wangu KABISA KABISAA.
Home boy tupo kwa wasukuma huku hawa jamaaa wao na ushirikina nikama ccm na rushwa
 
Inawezekana,kuna clip niliona ya mashindano ya baiskeli shinyanga jamaa kazuia jua uwanjani...yaani ukicheki pembeni jua linagonga hatari ila pale uwanjani kuna wingu limezuia jua..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wasukuma ni hatari mzee hata mimi nimeiona hiyo clip. Kwanza hata hizo mbio zao za baskeli wanarogana sana usipojipanga unaweza kutapika damu
 
Huku kuna wasanii wao maarufu yupo kisima,bhudagala,gudegude tajiri wa maluho,limbu luchagula,logeti na wengine wengi .

Sasa hawa wasanii wao wanarogana sana aise kunatukio moja gude alikuwa anafungua gesti yake hapo segese sasa akamualika kisima .Gude akajiangusha chini ili kisima amuinue jamaa akausoma mchezo .Maana yake kama kisima angemuinua gude basi kisima nyota yake ingechukuliwa.

Hadi leo kisima na gude hawapatani.
 
Jamaa Wana penda sana mambo ya USHIRIKINA na waganga wakienyejii kutupiana vimbola ni kugusa TU ogopa sana hizo jamiiii
Wasukuma wanapenda sana uchawi mno ila pia ni wakarimu sana .Na mabinti zao sio wachoyo kwenye mambo yetu.

Tatizo wananukia maziwa maziwa ya ng'ombe. Unaweza kugonga mabinti hata watano kutoka familia moja maana hawaambiani.
 
Nikifa mke wangu asiolewe unaishi nyangh'wale .

Kiufupi wasukuma na ushirikina ni pete na kidole .Mwaka jana hapa kharumwa uwanja wa sabasaba alipiga shoo kisima majabala aise ilitinga bonge la mvua lakini haikunyesha.


Ukienda huko itirima simiyu huko ndipo kuna zizi la waganga yani hapq nyumba hapa mganga.
Ina zidi handeni kwa msisi kweli?
 
Nikifa mke wangu asiolewe unaishi nyangh'wale .

Kiufupi wasukuma na ushirikina ni pete na kidole .Mwaka jana hapa kharumwa uwanja wa sabasaba alipiga shoo kisima majabala aise ilitinga bonge la mvua lakini haikunyesha.


Ukienda huko itirima simiyu huko ndipo kuna zizi la waganga yani hapq nyumba hapa mganga.
Ina zidi handeni kwa msisi kweli
 
Back
Top Bottom