Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Malehemu Mjomba wangu(mwana lukundekeja au wamiligo), alikua mcheza ngoma. Mkazi wa maeneo hayo wilaya nyang"whale.

Alikua na maajabu pia. Moja nililoshuhudia.. Alipita jamaa anaendesha baiskel bila kusalim, alichofanya mjomba alimnyoshea mkono tu, jamaa alidondoka kule mbele.
Nilshangaa sana
 
Ishi Kwa amani kama upo nae vizuri Wala hawana shida kabisa ila ukileta njau hata kama sio mchawi kule dawa Wana adhimishana kama CHUMVI tu hakuna mashart ila uwe na Siri tu. Hadi anafikia hivyo ujue Kuna mawili wewe mwenyewe umemjaribu kichawi au unamtesa yaani manyanyaso
Nipo nae mwaka wa 9 huu mkuu kawa kama mtoto wetu...
Kuna siku waligombana na jirani kwny biashara zetu ni mtu mzima kidogo huyo jirani sema ni mkorofi madharau na kujifanya yeye ndo yeye...so msichana wangu akamwambia cheza na mimi nikugeuze mamba...😁😆😆😁nikaogopa nikamuuliza how? Mbona maneno ya kutisha haya akasema hamna mimi siwezi ila nikitaka kumfanya lolote naweza kumwambia tuu mjomba akamaliza...nikasema Nahene lolo...😅😅
 
Nikifa mke wangu asiolewe unaishi nyangh'wale .

Kiufupi wasukuma na ushirikina ni pete na kidole .Mwaka jana hapa kharumwa uwanja wa sabasaba alipiga shoo kisima majabala aise ilitinga bonge la mvua lakini haikunyesha.


Ukienda huko itirima simiyu huko ndipo kuna zizi la waganga yani hapq nyumba hapa mganga.
Hatari sana
 
Back
Top Bottom