Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu.

Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba.

Msanii wa nyimbo za Asili Bhudala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho.

Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio mrefu.watazamaji hofu ikawaingia wengine wakaanza kukimbia ili kuikwepa mvua hiyo!

Msanii huyo jina tajwa hapo juu akawaambia watazamaji rudini rudini huko mnakoenda ndo mvua itawanyea lakini hapa halitaanguka hata tone moja la mvua.

Maana nina mahema mengi sana ya kuikinga isiwanyeshee. Baada ya kusema maneno hayo akasema maneno fln kwa kilugha then akamwambia Dj achia mziki uendelee.

Dk si nyingi mvua kubwa ilinyesha sana pembeni lakini katu haikugusa eneo la kiwanja alipokuwa akifanyia show yake.

Mvua ilikuwa kubwa kiasi kwamba huwezi muona mtu akiwa umbali wa mita 7 hivi.

Maji yali tiririka mengi sana na majaruba kujaa maji lakini hakuna mtu aliyedondekewa au kunyeshewa na tone moja la mvua ile.

Baada ya mvua kuisha hakuna mtu aliyeamini wengi waliokuwa mbali na show ile walikuja uwanjani kushuhudia ambapo walikuta msanii pamoja na wachezaji wake wakitimua vumbi tu huku wakikata mauno.

Tukio hilo lilinikuta katika kijiji hicho Tajwa hapo juu.

Na ilikuwa mwaka 2018-19 hivi.Kwa wasio amini unaweza kwenda kijiji Tajwa hapo juu mkapate ushuhuda zaidi.

Nina imani kabisa kama Dini hizi zisingezagaa kila chocho kuna mambo makubwa mno tungekuwa tunayaona yakifanyika bila kificho.

Mfano hukohuko Nyang'hwale kuna kijiji kinaitwa Bukungu mara kadhaa fisi walikuwa wanauliwa na kukutwa wana simu au rozali wamevaa nk

Huko simiyu ndo kama hivyo tena iko wazi kwa matukio ya ajabu ajabu.
Wala hakuna maajabu yoyote sema wewe hujui vitu baazi lakini ni rahisi sana
 
Zanzibar unaifahamu. Umetoka huku mwaka gani
Zanzibar si ndo senta iliyochangamka mkuu yaani huko mimi ni sawa na nyumbani tu hakuna kitu cha kunipita jtano iliyopita nilikuwa mnadani karumwa hapo. Baba zangu wakubwa wako huko wote. pale zanzibar mtu maarufu ni juma ninde na ilele wanazengo makini maarufu james salumu na paul mayega ulinza mtu yeyote wa maeneo hayo lazima atakuwa anawajua hao watu.

Alikuwepo na mwanabubele sasa hivi ni marehemu
 
Wewe kati ya hao uliowataja namfahamu ilele basi tuishie hapa unaweza kunifahamu
 
Nikifa mke wangu asiolewe unaishi nyangh'wale .

Kiufupi wasukuma na ushirikina ni pete na kidole .Mwaka jana hapa kharumwa uwanja wa sabasaba alipiga shoo kisima majabala aise ilitinga bonge la mvua lakini haikunyesha.

Ukienda huko itirima simiyu huko ndipo kuna zizi la waganga yani hapq nyumba hapa mganga.
Yaani wote wachawi na waganga....
 
Kumbe waeza hudhuria kiringeni just for funny?

Giza na Nuru havichanganani.
Kumbuka Kristo alikuja duniani kwa wadhambi na si watakatifu
Nina episode nyingi nikiwa na watenda dhambi wa kaliba tofauti.. Ninawapa uzoefu wangu kwenye jambo husika kisha nachapa injili.. Hii mbinu imenisaidia sana kuwaokoa wengi
 
Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu.

Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba.

Msanii wa nyimbo za Asili Bhudala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho.

Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio mrefu.watazamaji hofu ikawaingia wengine wakaanza kukimbia ili kuikwepa mvua hiyo!

Msanii huyo jina tajwa hapo juu akawaambia watazamaji rudini rudini huko mnakoenda ndo mvua itawanyea lakini hapa halitaanguka hata tone moja la mvua.

Maana nina mahema mengi sana ya kuikinga isiwanyeshee. Baada ya kusema maneno hayo akasema maneno fln kwa kilugha then akamwambia Dj achia mziki uendelee.

Dk si nyingi mvua kubwa ilinyesha sana pembeni lakini katu haikugusa eneo la kiwanja alipokuwa akifanyia show yake.

Mvua ilikuwa kubwa kiasi kwamba huwezi muona mtu akiwa umbali wa mita 7 hivi.

Maji yali tiririka mengi sana na majaruba kujaa maji lakini hakuna mtu aliyedondekewa au kunyeshewa na tone moja la mvua ile.

Baada ya mvua kuisha hakuna mtu aliyeamini wengi waliokuwa mbali na show ile walikuja uwanjani kushuhudia ambapo walikuta msanii pamoja na wachezaji wake wakitimua vumbi tu huku wakikata mauno.

Tukio hilo lilinikuta katika kijiji hicho Tajwa hapo juu.

Na ilikuwa mwaka 2018-19 hivi.Kwa wasio amini unaweza kwenda kijiji Tajwa hapo juu mkapate ushuhuda zaidi.

Nina imani kabisa kama Dini hizi zisingezagaa kila chocho kuna mambo makubwa mno tungekuwa tunayaona yakifanyika bila kificho.

Mfano hukohuko Nyang'hwale kuna kijiji kinaitwa Bukungu mara kadhaa fisi walikuwa wanauliwa na kukutwa wana simu au rozali wamevaa nk

Huko simiyu ndo kama hivyo tena iko wazi kwa matukio ya ajabu ajabu.
Huko lake zone Kuna mpaka nyayo za watu kwenye mawe,

Miaka ya zamaaniii sinema ya vitambaa Kijijini kwetu waliwai kuiloga jenereta linagoma kuwaka au linawaka na kuzimaa watu wakitawanyika inakaa sawa wakirudi mchezo ule ule..

Wapo KULE mpaka Wazika wazima yaan unakufa kiutatata utata
 
Kaka kumbe wewe wa huko nikajua wa pwani mwenzangu ?
Sikutanii tena aisee
Nimemwita homeboy sababu kupitia story humu ndani tukajuana wilaya moja kaskazini magharibi mwa TANZANIA nilisoma O-LEVEL hukoooo kwaio lika na watu wengi pale wilayani tunajuana.

So shuka chini, ni HOMEBOY wangu KABISA KABISAA.
 
Back
Top Bottom