I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Dena Amsi; Dena Amsi na Dena Amsi pekeee wa ukweli na wengine ni photocopy

He hehe My Darling, My Love, My Babe, My Sweetheart, My Husband.............

Haki ya Mama vile leo umenionyesha you Love me so much ........hata kale kaserengeti boy nakapiga chini (joking darling) ujue wewe ndo uko peke yako Love you Babe (hapa ni mwendo wa ki valentine valentine) usishangae
 
Unanisumbua bana kunipigia kelele mimi niko na valentine wangu hapa Sasakwa Lodge Serengeti napata wine safi
Wewe KOKUTONA nendeni na fastjet yenu huko kimanzichana sijui mbagala mkapigwe na vumbi

Wivu mbaya saana saana.
 
Kama ni uvumilivu basi kwetu tumejaliwa sana....linda ndoa yako dada hata kama ina ncha ya ndoano

Kuachana na huyu ni ngumu mno yale nimevumilia ni mengi mno kuliko yale yako mbele yangunampenda hata kama ni malaya/muhuni what ever they cancallHim nampenda sana na wala simwachi ha ha ha Bro taratibu nisijetoa siri za bed room aisee
 
Mie utanisamehe....nimeugawa moyo wangu vipande vipande na kila anipendae anapata share yake....we gangamala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…