THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 767
- 956
Huyo ameiga Kwa yule was USA alivyomfanyia George Floyd. Hapo huyo mwananchi anaweza kupoteza maishaMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Time will tellHuyo ameiga Kwa yule was USA alivyomfanyia George Floyd. Hapo huyo mwananchi anaweza kupoteza maisha
Sema hukuwa na vigezoHii Kazi kwa kweli nilitolea nje mara 4 hata uzao wangu Katu sitoruhusu uwe sehemu ya dhuluma hadi katiba mpya itakapopatikana kuwatenganisha wasiwe chini ya wanasiasa.
Unamtesa mtza mwenzake kulinda maslai ya mwanasiasa ambae anatembelea kiyoyozi anaishi kwenye kiyoyozi ukitoka hapo unaenda lala kwenye nyumba ya Bati lenye kutu,ukipokea order bila kureasoning.
Yes, alikua na akili zaidi na huku Polisi unatakiwa kuwa Bogus flani hiviSema hukuwa na vigezo
Hata kama hajamkanyaga wewe unaona ni sahihi kumfanyia hivyo mtu ambaye hana makosa ?Hajamkanyaga bali uyo kalalia kiatu Ndio maan kisogo cha jamaa hakijagusa chini, ingekua kamkanyaga uo mguu ungekua juu ya shingo na ata kichwa Cha uyo jamaa kingegusa chini moja kwa moja
Kwani kamfanyaje Apo Mkuu naomba video ili nione jinsi alivomkanyaga shingoni na unyanyasaji mwingine aliofanyiwa uyo mwamba sio kusambaza picha za kuotea ambazo lengo lake kuu ni kuonewa huruma na kusambaza propaganda za uongoHata kama hajamkanyaga wewe unaona ni sahihi kumfanyia hivyo mtu ambaye hana makosa ?
Hakuwa na akili mwenye akili hawez sema huyo mtu kakanyagwa shingoniYes, alikua na akili zaidi na huku Polisi unatakiwa kuwa Bogus flani hivi
Hivi tuna uhakika hao ni Askari ?Hawa Askari nimefuatilia wote ni form four failure, huyo aliyemkanyaga huyo mshkaji ana cheti fake na aliingia kwa mgongo wa ndugu yake kuhonga
View attachment 1891608
Unajitia busara wakati kichwani umejaza mavi ya punda.Safi Nahis umegundua kitu Mkuu pia Anaetaka kuvuruga amani kwa kuwatumia Vijana wasio na hatia lazm adhibitiwe ipasavyo,,, ila acheni propaganda zenu za ajabu et " kamkanyaga shingoni" iyo picha no Kama ya kuvizia kabisa na inaonekana yote kw yote wananchi tudai haki kwa njia zinazofaa tusiharibu amani ya nchi pia mitandao ya kijamii itumike vizuri sio kupanda chuki kiasi icho maan ipo siku iyo chuki itaota na kunawiri.
Kwani shida nini hapo.Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
😂😂😂😂😂 Hasira za nin Mkuu yan nd ivyo ivyo mnatumia Hasira kudai katiba mpya bila hoja za msingi #Acheni kusambaza propaganda ili muonewe hurumaUnajitia busara wakati kichwani umejaza mavi ya punda.
Wewe unaona huyo katenda kosa gani mpaka afanyiwe huo ushenzi ?
Acha upumbavu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hasira za nin Mkuu yan nd ivyo ivyo mnatumia Hasira kudai katiba mpya bila hoja za msingi #Acheni kusambaza propaganda ili muonewe huruma
Kuna mwenzao huko Arusha kamtaja Marehemu, sasa sijui Marehemu atakuja kumuokoa??Hivi tuna uhakika hao ni Askari ?
Siyo vijana wa ccm wanavalishwa nguo za polisi kweli ?
sawa m mpumbavu ila ushahidi toshelevu ni muhimu sio picha za kuotea zenye maudhui ya kusambaza propaganda mbovu mbov ambaz hazipo kiuhalisia MkuuAcha upumbavu.
Kama unafurahia mtu kuonewa namna hiyo ni wewe labda unanufaika binafsi na huo uonevu.
Hawa chadema ni vilaza sana na wanafikiri watu wote tuko kama wao. shwanezzzzzzzzzzNi kweli ukiangalia tukio zima, utagundua kuwa Polisi walitumia nguvu nyingi kumdhibiti uyo bwana mdogo, hata hivyo sio kweli kuwa Askari alimkanyaga shingoni. Ukiangalia picha hiyo, jamaa alikua kabanwa Kati ya mguu wa Askari na Tairi la gari.
Nimeona views mbalimbali za picha hiyo, jamaa hakukanyagwa shingoni lakin Kama Doso amechezea kweli kweli. Pole yake.
Kwani huyo mtu akifa kwa kufanyiwa huo unyama utanufaika nini ?sawa m mpumbavu ila ushahidi toshelevu ni muhimu sio picha za kuotea zenye maudhui ya kusambaza propaganda mbovu mbov ambaz hazipo kiuhalisia Mkuu
Nyoka akimsaidia Samaki anayetaka kuzamasawa m mpumbavu ila ushahidi toshelevu ni muhimu sio picha za kuotea zenye maudhui ya kusambaza propaganda mbovu mbov ambaz hazipo kiuhalisia Mkuu
Wanatetea unyanyasajiKuna mwenzao huko Arusha kamtaja Marehemu, sasa sijui Marehemu atakuja kumuokoa??