Uongo saa nyingine unaaibisha. Huyo amemnyanyua na wala si kukanyaga! Acha kudanganyaMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Binadamu afe kirahisi ivyo mkuu kwa kukamatwa na polisi au labda niambie kwa ushahidi toshelevu hapo ni unyama gani aliofanyiwa Apo uyo mwambaKwani huyo mtu akifa kwa kufanyiwa huo unyama utanufaika nini ?
Na hapa anamsindikiza sio?? Ni mpuuzi tu narudia ni MPUUZI tu anayettea ukatili wa PolisiUongo saa nyingine unaaibisha. Huyo amemnyanyua na wala si kukanyaga! Acha kudanganya
Kwa picha hizo eleza unyama ambayo umedhihirika uyo mwamba kafanyiwa hapo
Kuanzia kukamatwa kwake kapigwa sana na hakuwa na kosa lolote.Binadamu afe kirahisi ivyo mkuu kwa kukamatwa na polisi au labda niambie kwa ushahidi toshelevu hapo ni unyama gani aliofanyiwa Apo uyo mwamba
Hivi unasahau kazi ya Polisi ni nini? Sioni kosa la Polisi ila kosa ni mtu ambaye hafuati amri ya PolisiNa hapa anamsindikiza sio?? Ni mpuuzi tu narudia ni MPUUZI tu anayettea ukatili wa Polisi
View attachment 1891677
Una umri gani?Hivi unasahau kazi ya Polisi ni nini? Sioni kosa la Polisi ila kosa ni mtu ambaye hafuati amri ya Polisi
Nimezaliwa leo.Una umri gani?
Uraiani kuna wananchi maiti. Kama wangekuwa na kisirani huyu polisi angekuwa anaandikwa jina halafu linaishia na R.I. PPolisi anaishi uraiani, uraiani kuna wananchi wenye kisirani
Weka ushahidi wa kupigwa ili tuone uhalisia wa Jambo ilo maana Maneno yanaweza kuwa Kama Fantasia kwa Sana tu kwa kufata mkumbo wa mwenezi wa propaganda izo sababu tu wew ni moja ya mfuasiKuanzia kukamatwa kwake kapigwa sana na hakuwa na kosa lolote.
Anaingia kwenye gari nako kama unavyoona hapo.
Wewe unafikri kufa ni jambo gumu ?
Wewe huna akili,kwani mtu anatakiwa aue akiwa analipwa shingapi!!!Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda
View attachment 1891622
Lakini uyo police nae ni binadamu brutality ni ukosefu wa akili binadamu mwemzako unamfanyia ivyoUtii bila shuruti ni zawadi iliyotukuka
Atakula jeuri yake.
Uliishawahi kukutana na mtu aliyepigwa sana mdogo wangu!!!Kuanzia kukamatwa kwake kapigwa sana na hakuwa na kosa lolote.
Anaingia kwenye gari nako kama unavyoona hapo.
Wewe unafikri kufa ni jambo gumu ?
Ukosefu wa akili ni kuamini huyo mtu kakanyagwa kichwa,sijui shida ni tecno au msongo wa mawazo macho hayafanyi kazi.Lakini uyo police nae ni binadamu brutality ni ukosefu wa akili binadamu mwemzako unamfanyia ivyo
Nimemtafuta aliyeongea hivyo bahati yake amefuta commentWewe unahitaji kupimwa mkojo asee. πππ
Maji hufuata mkondoMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Huyo alitakiwa akirudi nyumbani kwake akute turubai nje .Polisi anaishi uraiani, uraiani kuna wananchi wenye kisirani
Wananchi sio nyumbu.wanatumia akili.Huyo alitakiwa akirudi nyumbani kwake akute turubai nje .