Hujui kitu wewe!Nimeiona picha hii asubui nikajua hao ni Simba, nikajua ni mambo ya mpira.
Hii si sawa. Kuna watu wanafanya jitihada kuvuruga amani tuliyonayo ili wajinufaishe kisiasa. Hii si sawa kabisa. Lazima hatua zichukuliwe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nyumbu ni mama yako aliyekunyima malezi boraWananchi sio nyumbu.wanatumia akili.
Nimekosa cha kukujibu. Mungu akusaidie tu
Hapa ndiyo unaonyesha amekanyangwa au?
iwavyo vyovyote vile Kudai katiba ni kosa mpaka atendewe hivyo? aina ya kosana na aina ya ukamataji vinafanana?Ni kweli ukiangalia tukio zima, utagundua kuwa Polisi walitumia nguvu nyingi kumdhibiti uyo bwana mdogo, hata hivyo sio kweli kuwa Askari alimkanyaga shingoni. Ukiangalia picha hiyo, jamaa alikua kabanwa Kati ya mguu wa Askari na Tairi la gari.
Nimeona views mbalimbali za picha hiyo, jamaa hakukanyagwa shingoni lakin Kama Doso amechezea kweli kweli. Pole yake.
Bahati mbaya sana sana Wanaccm wengi ndio wanaongoza kwa kukopaHaya majitu yamefanikiwa kututoa kwenye jitihada za kupambana na maisha na kufanya tuanze kujadili mambo Yao ya kuwatengenezea maisha wananchi tuwapuuze tuachane na harakati zisizokuwa na manufaa KWETU tuwaachie wajadili wenyewe sisi tufanye KAZI naamini MWISHO wasiku njaa itawarudisha kundini.
kesho kwako hakuna aijuae keshoUtii bila shuruti ni zawadi iliyotukuka
Atakula jeuri yake.
Hapo nadhani tusiangalie tu sijui mguu shingoni au kwenye nini. Tufikirie haya yanayotokea yana maana gani. Sasa muhimu ni kudhibiti hizi nia mbaya.Safi Nahis umegundua kitu Mkuu pia Anaetaka kuvuruga amani kwa kuwatumia Vijana wasio na hatia lazm adhibitiwe ipasavyo,,, ila acheni propaganda zenu za ajabu et " kamkanyaga shingoni" iyo picha no Kama ya kuvizia kabisa na inaonekana yote kw yote wananchi tudai haki kwa njia zinazofaa tusiharibu amani ya nchi pia mitandao ya kijamii itumike vizuri sio kupanda chuki kiasi icho maan ipo siku iyo chuki itaota na kunawiri.
acha uongo bhana, huyo mtu hapo hajakanyagwa shingoni, huo mguu upo chini ya shingo huyo muharifu kaulalia huo mguuMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Kwahio hivi ndio Wahalifu wanavyotakiwa kuwa handled?acha uongo bhana, huyo mtu hapo hajakanyagwa shingoni, huo mguu upo chini ya shingo huyo muharifu kaulalia huo mguu
So wewe ukilalia au egamia kisicho mto ni sawa na umekanyagwa!?So alikuwa kamwekea mto Ili asiumie
Kwanini unapotosha,ilitosha tu kuandika amefanyiwa ukatili(kwa jinsi wewe ulivyoona) lakini unapotosha kakanyagwa na picha tunaiona kabisa amelalia mguu upo nyuma ya shingo...andiko lako na utetezi wako unapoteza maana kabisa kwa kupotosha wazi namna hiyoPichani Ni Mwanachama wa @ChademaTz Deus Soka (@DEUSNOWOFFICIA1) Akifanyiwa Ukatili wa hali ya Juu na Jeshi la Police @tanpol kwa kukanyagwa Shingo na Sehemu nyingine za mwili wake kwa tuhuma za Kuvaa T-shert yenye Maandishi ya #KatibaMpya!!
#freeDeus
#freeDeus
#MboweSioGaidi https://t.co/FvdVYvldfr
Una uhakika?Kwanini unapotosha,ilitosha tu kuandika amefanyiwa ukatili(kwa jinsi wewe ulivyoona) lakini unapotosha kakanyagwa na picha tunaiona kabisa amelalia mguu upo nyuma ya shingo...andiko lako na utetezi wako unapoteza maana kabisa kwa kupotosha wazi namna hiyo
btn: hakuna mahali duniani mhalifu anabembelezwa ukikaidi amri halali ya mamlaka utatendwa kadri ya ukaidi wako