Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Likikaushwa halinuki😜
 
Angekua Nguruwe 🐖 kamtulia mabegani je! imamu angepewa tuzo ya kujali wanyama au angeitwa Kafiri?
Umekosea sana, Uislamu haumaanishi kwamba mnyama aliyeharamishwa kuliwa kwa waislamu wamchukie hapana hapana

Mapenzi ya waislamu kwa wanyama yanabaki pale pale, hata huyo cat haliwi lakini mapenzi aliyoonyeshwa ni sawa na kwa wanyama wote
 
Umekosea sana, Uislamu haumaanishi kwamba mnyama aliyeharamishwa kuliwa kwa waislamu wamchukie hapana hapana

Mapenzi ya waislamu kwa wanyama yanabaki pale pale, hata huyo cat haliwi lakini mapenzi aliyoonyeshwa ni sawa na kwa wanyama wote
Hakuna niliposema wanachukia Nguruwe 🐖 km kupo onyesha,
 
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
Kuna clip naitafuta ya nyani a anaingia kwenye jumba la mabudha na kuanza kula nao msosi
 
Kwa hiyo unataka kusema Bible ina mapungufu [emoji15]
Na mkiwa mnakwoti maandiko ya Mashoga na Wasagaji kuuwawa mbona hua mnachukua mistari ya hao hao wakina Walawi? [emoji2296]

Tushike lipi sasa je kurasa za Walawi kwenye Bible zichomolewe?
 
Sasa kama ni paka wake ashtuke ya kazi gani? Au ndio vile vinyago tulivyochonga wenyewe halafu vitutishe?
 
Naam,
Kwa mujibu wa maandiko na ufafanuzi upo,
Huenda umekwama porini umeishiwa chakula na bado hujajua njia ya kutoka basi kama kuna Nguruwe amekatiza chinja, choma kula kiasi usife kwa njaa ili uendelee na mapambano ya kujinasua, na sio Nguruwe tu hata wanyama wengine ambao walikatazwa unaweza ukala kwa hiyo dharura,

Sio upo zako home umehisi njaa unaagiza nyama yake unakula kwa ugali unashushia na maji baridi halafu useme ni hayo maandiko hapana umekula najisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…