Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

Wewe ni mkristu?
 
Hujui maandiko.
 
Nyie ndio mnatapa tapa tu.
Eti taifa teule kwa sasa lililochaguliwa na Mungu ni Tanzania 🤣🤣🤣
 
Hivyo vitahukumiwa kwa Torati ya wakati huo
hata hiyo injili aliyekua anaandika ni nani na pia nasikia waliandika baada ya yesu kuondoka sasa walishindwaje kuandika wakati yupo ili na yeye awe ana wasihisha
 
Biblia ya kiroma lipo kwani kristu na kristo inatofauti gani?
Sasa chief kuna mlokole mroma?
Ukishasema mlokole ni pentecostal sio Rc. Ndio maana nikasema jifunze kuwatambua.
Kristu liko kwenye biblia ya RC (sina hakika) lakini biblia ya Wapentekoste ina neno kristo.
 
Sasa chief kuna mlokole mroma?
Ukishasema mlokole ni pentecostal sio Rc. Ndio maana nikasema jifunze kuwatambua.
Kristu liko kwenye biblia ya RC (sina hakika) lakini biblia ya Wapentekoste ina neno kristo.
Tofauti yake ni nin?
 
Reactions: 511
Biblia ya kiroma lipo kwani kristu na kristo inatofauti gani?
Neno Kristo limetoka katika lugha ya kigiriki (Khristos) ambalo likitafsiriwa katika Kiswahili linatamkika kama KRISTO.

Lakini Neno hili hili, kwa lugha ya kilatini (Christus), likitafsiriwa katika Kiswahili linatamkika kama KRISTU.

Biblia haikuandikwa katika lugha ya kilatini bali iliandikwa katika lugha ya Kigiriki ya kale. Hivyo tafsiri ya biblia ya Kiswahili tunaitolea moja kwa moja kutoka katika lugha hiyo ya kigiriki, na sio kilatino.

Kwa hiyo ukiona mtu anasema kristu, huyo ni mroma ambae biblia yao imetokana na kilatin.
 
hata hiyo injili aliyekua anaandika ni nani na pia nasikia waliandika baada ya yesu kuondoka sasa walishindwaje kuandika wakati yupo ili na yeye awe ana wasihisha
Yesu alipoondoka roho Mtakatifu akashuka duniani, ndie alieongoza uandishi wa Injili. Hata sasa dunia iko chini ya utawala wa Roho Mtakatifu
 
Myahudi anaamini majini yapo lakini hana kazi nayo na wala hana kazi nayo, Muislam anaamini majini yana nafasi katika uislam
 
Wewe ni pompoma, nenda kasome THE COUNCIL OF NICAEA, alafu uje hapa.
 
Ukiweka maelezo kwamba wakiristo ni wafuasi wa mafundisho ya Kristy,Hilo halina shida,shida inakuja wanajiita wakiristo kudai na kuamini kuwa yesu ni Mungu wakati yesu mwenyewe hajawahi kujiita Mungu,msitari wa biblia utaotoa ni ule wa paulo kukutana na yesu akienda Damascus,ukitumia huo utarudi palepale kwamba muasisi wa ukiristo huu wa kudai yesu ni Mungu ni Paulo,katika vitabu 13 vya agano jipya,Saba ni vya Paulo,na agano jipya ndiko unakopatikana ukiristo wa Leo,wayahudi walimpinga yesu si kwa kuwa alijiita Mungu Bali wayahudi walikua na kawaida ya kuikataa manabii,walimkataa hata Musa,wakamkataa yesu kwa kujiita mfalme(nabii) wa wayahudi
 
Mkuu,

Hizi data zako siyo kweli.

Saudi Arabia ambako ndiyo kitovu cha dini ya uislamu,yenye wakazi zaidi ya milioni 36,wakristo ni asilimia chini ya 4 tu.

Vinginevyo njoo na data.
View attachment 2990850View attachment 2990851
Nigeria hawajawahi Fanya sensa ya dini,Tanzania ilifanya Mara ya mwisho 1968 na matokeo yalifutwa,ya 1958 waislam walikua 66%, Nigeria waislam ni 51%,bila waislam hushindi uchaguzi Nigeria
 
"Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi." Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.
 
Yesu alipoondoka roho Mtakatifu akashuka duniani, ndie alieongoza uandishi wa Injili. Hata sasa dunia iko chini ya utawala wa Roho Mtakatifu
huyo roho mtakatifu ndie aliwafunza kuandika mafumbo,kumuogopa mungu badala ya kumpenda mungu.
halafu utawala upi una ongelea wa roho mtakatifu?.
Mbona kama huyo roho mtakatifu kazidiwa na shetani halafu yupo kinyonge sana yaan hakuna anachoweza.
na pia unatuthibitishiaje kwa hayo ndio yalikua maisha ya yesu na sio tu maneno ya akina paulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…