Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali
4. Wote wanaamini katika majini, jin (Mwarabu), Shedim (Myahudi)
5. Wote wanaamini kwenye visasi
6. Wote wanaamini kwenye aina ya chakula, Halal (Mwarabu), Kosher (Myahudi)
7. Mwarabu anasali akitizama Mecca, Myahudi akitizama Jerusalem
8. Imani zao zina rangi (Blue Myahudi), Kijani (Mwarabu)
9. Wote wanaamini kuna mfupa fulani kwenye mgongo ambao hauozi na siku ya mwisho utakua na kurudisha ombo la mtu husika, Mwarabu anauita Ajbu al Thanab
10. Wote wanaamini binadamu wa kawaida kuwa ndio Masiha wao, Mwarabu (Mohammad), Myahudi (Musa)
11. Wote wana chuki na Wakristu kwa sababu bado hawajampokea Yesu (ni vigumu kuona kanisa Uarabuni), Pia kuna sheria huko Uyahudi hawapendelei sana Makanisa

Kwa ujumla Myahudi na Mwarabu wote walimkataa Yesu, ndio maana wanakosa neema na upendo wa Yesu na matokeo yake wamebaki kuuwana kwa visasi.

NB: Mwarabu halisi ni Msaudi Arabia, Myahudi halisi ni Yule ambae hajachanganya damu na wazungu
Wewe ni mkristu?
 
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali Nguruwe

Hujui maandiko.
 
Ndo maana Yesu alisema ufalme utahama kutoka mashariki ya kati ambako ufahamu wa majira saba ulianzia kwenda taifa lingine litakalomtolea Muumba matunda yake.

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
Nyie ndio mnatapa tapa tu.
Eti taifa teule kwa sasa lililochaguliwa na Mungu ni Tanzania 🤣🤣🤣
 
Hivyo vitahukumiwa kwa Torati ya wakati huo
hata hiyo injili aliyekua anaandika ni nani na pia nasikia waliandika baada ya yesu kuondoka sasa walishindwaje kuandika wakati yupo ili na yeye awe ana wasihisha
 
Biblia ya kiroma lipo kwani kristu na kristo inatofauti gani?
Sasa chief kuna mlokole mroma?
Ukishasema mlokole ni pentecostal sio Rc. Ndio maana nikasema jifunze kuwatambua.
Kristu liko kwenye biblia ya RC (sina hakika) lakini biblia ya Wapentekoste ina neno kristo.
 
Tofauti yake ni nin?
 
  • Thanks
Reactions: 511
Biblia ya kiroma lipo kwani kristu na kristo inatofauti gani?
Neno Kristo limetoka katika lugha ya kigiriki (Khristos) ambalo likitafsiriwa katika Kiswahili linatamkika kama KRISTO.

Lakini Neno hili hili, kwa lugha ya kilatini (Christus), likitafsiriwa katika Kiswahili linatamkika kama KRISTU.

Biblia haikuandikwa katika lugha ya kilatini bali iliandikwa katika lugha ya Kigiriki ya kale. Hivyo tafsiri ya biblia ya Kiswahili tunaitolea moja kwa moja kutoka katika lugha hiyo ya kigiriki, na sio kilatino.

Kwa hiyo ukiona mtu anasema kristu, huyo ni mroma ambae biblia yao imetokana na kilatin.
 
hata hiyo injili aliyekua anaandika ni nani na pia nasikia waliandika baada ya yesu kuondoka sasa walishindwaje kuandika wakati yupo ili na yeye awe ana wasihisha
Yesu alipoondoka roho Mtakatifu akashuka duniani, ndie alieongoza uandishi wa Injili. Hata sasa dunia iko chini ya utawala wa Roho Mtakatifu
 
Umejitahidi kuchambua, lakini kwa wayahudi itabidi utuletee uthibitisho kwenye kitabu chao. Mfano wao kuamini majini. Ila kwa Waislam watu tumeisha ichambua Quran yao na Hadithi za Mtume, ni kwambie tu hakuna kitabu cha hovyo kama hiki. Kina a lot of inconsistencies, kimejaa mazungumzo ya sex na zaidi ya hayo kitabu hicho kimemzushia uongo Yesu Christo kiasi kwamba one can conclude Kuwa Mohammad na Allah wake ndiyo wale "Mpinga Kristo"
Quran 2:29 at inasema Allah alianza kwanza kuumba Dunia, ndiyo baadae akaenda kuumba mbingu!!
Quran 17:1 inawaonyesha Allah na Mohammad kuwa wote ni sawa kwenye kufanya maamuzi
Pia Waislamu wakichochewa na Quran wamekuwa ndiyo tishio la Amani duniani; wakati kwa wayahudi siyo hivyo

View: https://x.com/RadioGenoa/status/1790470651741892633

Myahudi anaamini majini yapo lakini hana kazi nayo na wala hana kazi nayo, Muislam anaamini majini yana nafasi katika uislam
 
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali Nguruwe
4. Wote wanaamini kuna majini, jin (Mwarabu), Shedim (Myahudi). Utofauti ni kwamba Myahudi hana ubia na majini,Muislam ana ubia na majini
5. Wote wanaamini kwenye visasi
6. Wote wanaamini kwenye aina ya chakula, Halal (Mwarabu), Kosher (Myahudi)
7. Mwarabu anasali akitizama Mecca, Myahudi akitizama Jerusalem
8. Imani zao zina rangi (Blue Myahudi), Kijani (Mwarabu)
9. Wote wanaamini kuna mfupa fulani kwenye mgongo ambao hauozi na siku ya mwisho utakua na kurudisha ombo la mtu husika, Mwarabu anauita Ajbu al Thanab
10. Wote wanaamini binadamu wa kawaida kuwa ndio Masiha wao, Mwarabu (Mohammad), Myahudi (Musa)
11. Wote wana chuki na Wakristu kwa sababu bado hawajampokea Yesu (ni vigumu kuona kanisa Uarabuni), Pia kuna sheria huko Uyahudi hawapendelei sana Makanisa

Kwa ujumla Myahudi na Mwarabu wote walimkataa Yesu, ndio maana wanakosa neema na upendo wa Yesu na matokeo yake wamebaki kuuwana kwa visasi.

NB: Mwarabu halisi ni Msaudi Arabia, Myahudi halisi ni Yule ambae hajachanganya damu na wazungu
Wewe ni pompoma, nenda kasome THE COUNCIL OF NICAEA, alafu uje hapa.
 
Kabla ya Paulo ,tayari kulikuwa na wakristo(ukristo) kabla yake,na Paulo ni mmoja wa wapinga kristo wakubwa hata kabla uislamu haujawepo duniani.

Yaani mnachokifanya waislamu kuupinga ukristo kwa nguvu zote,Paulo alikifanya mara mia zaidi yenu,zaidi ya Quran.

Kasome matendo ya mitume upate elimu zaidi,acha kukariri. Inaeleweka waislamu adui yenu mkubwa ni Paulo. Ila angalau msimsingizie katika hili la kuanzisha ukristo.

Yesu aliitwa kristo au masihi yaani mpakwa mafuta na wale wa(li)naofuata Mafundisho yake wanaitwa wa'kristo'..yaani wanafunzi wa yule aliyeitwa kristo au wapakwa mafuta,ambaye wayahudi wenzake walimkataa na kumsuribisha kwa sababu Mafundisho yake mengi yalipingana na kitabu chao kitakatifu Torati ya Musa (ambayo hadi Leo ndiyo msingi wa dini ya uyahudi). Na Kuna muda walisema anakufuru kwakujiita Mungu au mwana wa Mungu na atalibomoa na kulijenga helaku la Suleiman ndani ya siku 3 ,akafa na kuzikwa na mtu aliyeitwa Yusufu tajiri kutoka alimataya ambaye alikuwa mwanafunzi wa Mafundisho ya Yesu kwa siri,kisha baada ya kuzikwa ijumaa akafufuka baada ya siku tatu kama vile Yona(yunus) alivyotoka kwenye tumbo la samaki baada ya siku tatu.

Ufufuko wa Yesu ndiyo msingi mkuu wa UKRISTO.Bila ufufuko hakuna ukristo.

so,

Nje ya hapo Paulo hajaleta ukristo,bali aliukuta,akaupiga vita,kisha kwa neema ya Mungu akaishia kuwa mkristo kuliko wakristo walioishi nae Yesu (wanafunzi wake).

Focus.
Ukiweka maelezo kwamba wakiristo ni wafuasi wa mafundisho ya Kristy,Hilo halina shida,shida inakuja wanajiita wakiristo kudai na kuamini kuwa yesu ni Mungu wakati yesu mwenyewe hajawahi kujiita Mungu,msitari wa biblia utaotoa ni ule wa paulo kukutana na yesu akienda Damascus,ukitumia huo utarudi palepale kwamba muasisi wa ukiristo huu wa kudai yesu ni Mungu ni Paulo,katika vitabu 13 vya agano jipya,Saba ni vya Paulo,na agano jipya ndiko unakopatikana ukiristo wa Leo,wayahudi walimpinga yesu si kwa kuwa alijiita Mungu Bali wayahudi walikua na kawaida ya kuikataa manabii,walimkataa hata Musa,wakamkataa yesu kwa kujiita mfalme(nabii) wa wayahudi
 
Mkuu,

Hizi data zako siyo kweli.

Saudi Arabia ambako ndiyo kitovu cha dini ya uislamu,yenye wakazi zaidi ya milioni 36,wakristo ni asilimia chini ya 4 tu.

Vinginevyo njoo na data.
View attachment 2990850View attachment 2990851
Nigeria hawajawahi Fanya sensa ya dini,Tanzania ilifanya Mara ya mwisho 1968 na matokeo yalifutwa,ya 1958 waislam walikua 66%, Nigeria waislam ni 51%,bila waislam hushindi uchaguzi Nigeria
 
Kuchovya kwa mwanamke huyu usiku wa leo, halafu kesho unachovya kwa mwanamke mwingine ni uhuni mkuu, wala haiitaji mjadala. Hapo hakuna ndoa maana kati ya hao wawili hakuna hata mmoja unaweza ukamtamkia kuwa unampenda maana atakuuliza kama unanipenda mbona una mwanamke mwingine?

Marko 10:6-9​

6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”

"Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi." Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.
 
Yesu alipoondoka roho Mtakatifu akashuka duniani, ndie alieongoza uandishi wa Injili. Hata sasa dunia iko chini ya utawala wa Roho Mtakatifu
huyo roho mtakatifu ndie aliwafunza kuandika mafumbo,kumuogopa mungu badala ya kumpenda mungu.
halafu utawala upi una ongelea wa roho mtakatifu?.
Mbona kama huyo roho mtakatifu kazidiwa na shetani halafu yupo kinyonge sana yaan hakuna anachoweza.
na pia unatuthibitishiaje kwa hayo ndio yalikua maisha ya yesu na sio tu maneno ya akina paulo
 
Back
Top Bottom