Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

"Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi." Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.

Biblia haijakataza ndoa ya wake wengi
 
Twende taratibu.

Kwanza kabisa nimefuta kauli yako/yenu waislamu ambayo mnasisitiza kila siku kuwa Paulo ndiye mwasisi wa ukristo kama Imani.

Lakini pia kwa sababu umeleta hoja nyingine juu ya uungu wa Yesu,karibu na twende sawa.

umetaka mstari wa Biblia ambao Yesu mwenye anakiri kuwa yeye ni Mungu. Soma Yohana 10:30 "Mimi na Baba (Mungu)tu umoja"

Kumbuka msingi mkuu wa ukristo ni utatu mtakatafu;yaani Mungu mmoja mwenye nafsini tatu.
1.Mungu baba, hapa anasimama katika cheo cha uumbaji.

2. Mungu mwana (kristo/messiah ) hapa kama nafsi iliyoshuka duniani kuja kutupatanisha na Mungu dhidi ya laana ya dhambi (kumbuka zamani kabla ya Yesu wayahudi walikuwa wanatoa dhabihu ya kuchinja mnyama ili kufuta dhambi Kila mwaka),so kwa ukristo Yesu alifanyika kondoo kwa ajili ya kufuta dhambi.

3. Mungu roho mtakatifu,ambae anaishi ndani yetu kwa ajili ya kutuongoza.

Mungu mmoja katika nafsi zake tatu.
 
Record ya kumwaga damu duniani inashikiliwa na Wakristo:
1. WWI
2.WWII
3. Crusades

Laana ilikuwepo ama? Vipi huko Ukraine
Hivi unajua hata kazi ya crusaders ilikuwa ni nn??

Crusaders protected holy cities from Muslim Invaders, they were soldiers not mercenaries as most of you think.
 
Pacome na gamond ni wamoja,magu na makonda ni wamoja,lema na mbowe ni wamoja..haimaanishi lema ni mbowe na mbowe ni lema Bali agenda/mission yao moja,hujavunja uliyoita hoja ya waislam kwamba muasisi wa ukiristo ni Paulo,sababu unatoa kwenye vitabu vyake,agano la kale hakuna Mungu mwenye nafasi nyingi, Mungu mwenye nafasi tatu ni mpya kwa wayahudi/Israel,Kuna upagani wa kirumi ndani yake,yesu mwenyewe akisema 'sikutumwa Ila kwa kondoo waliopotea wa Israel......na yesu kristo uliyemtuma'..anayetumwa ni mtumwa,mtume,ndiyo maana 'baba ikiwezakana niepushe na kikombe hiki,Mungu wangu mbona umeniacha'..huyo ni mtu anamlilia Mungu wake
 
Acha kabisa kuwafananisha waarabu waislamu na hao magaidi wa kizayuni waliolaaniwa, na ndio maana hawana amani all the time
 
Acha kabisa kuwafananisha waarabu waislamu na hao magaidi wa kizayuni waliolaaniwa, na ndio maana hawana amani all the time
Mkuu weka bendera ya CONGO ili kuwaonea huruma kwa kuwa wamekuwa vitani tangu uhuru. Hizo bendera ya ngozi nyeupe achana nao, hao ndio walikuuza kama mtumwa
 
Wote dini zao hazina msamaha.
Ukiiba unakatwa mkono, ukizini unachinjwa shingo na wazinifu wenzako.
Hakika kweli Waislamu na Wayahudi wanafanana sana ndio maana wanapigana siku zote hizi, hawana msamaha.
Ha ha ha wacha wauane.

Umegundua kitu cha msingi sana
 
Wanahukumu wenyewe, kwa kifupi wamechukua nafasi ya Mungu.
 
Mkuu weka bendera ya CONGO ili kuwaonea huruma kwa kuwa wamekuwa vitani tangu uhuru. Hizo bendera ya ngozi nyeupe achana nao, hao ndio walikuuza kama mtumwa

Waarabu hawakuhusika na biashara ya utumwa, kama nikweli unaweza ukaweka ushahidi hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Ndoa ni zaidi ya kupendana na kutimiza matamanio ya kimwili.
 
Myahudi anaamini majini yapo lakini hana kazi nayo na wala hana kazi nayo, Muislam anaamini majini yana nafasi katika uislam
Shida ni kwamba waislamu wanapozungumzia majini huzungumzia kitu tofauti na wakristo wanavyozungumzia majini. Wakristo wao wanazungumzia majini kuwa ni malaika ila waliyoasi na si kwamba majini ni aina nyengine ya viumbe vilivyoumbwa na Mungu, ila waislamu wanapozungumzia majini huzungumzia kama aina ya nyengine ya viumbe vilivyoumbwa na Mungu na ambavyo si malaika wala si binaadamu.
 
Pengine ndio maana wengine husema ukristo ni imani tu na si dini, ndio maana utakuta mkristo atasifu ukristo (imani) kuwa ni upendo tu na kwamba hakuna fujo ila huyo huyo atashabikia vita ya Palestina na Israel.

Hapo hoja ya upendo kaiweka pembeni.
 
Pengine ndio maana wengine husema ukristo ni imani tu na si dini, ndio maana utakuta mkristo atasifu ukristo (imani) kuwa ni upendo tu na kwamba hakuna fujo ila huyo huyo atashabikia vita ya Palestina na Israel.

Hapo hoja ya upendo kaiweka pembeni.
Sasa ufanyeje,
Arafat kawasuluhisha Israeli na Palestina miaka na miaka bado hawaelewi.
Leo tunaona Hamas wanaenda kuwavamia Israeli na vita inaendelea.
Huko Sudani watu wa dini wanaendelea kuchinjana, Somalia mambo ni yale yale watu wadini wanauana bila huruma.
Kinacho baki ni kuwacheka tu Dini zimewapumbaza na kuwaondolea utu wa kibinadamu.
Wapuuzi dawa yao ni kuwacheka tu. Hata ukiwaonea huruma haisadii kwani wao hawajionei huruma.
 
Record ya kumwaga damu duniani inashikiliwa na Wakristo:
1. WWI
2.WWII
3. Crusades

Laana ilikuwepo ama? Vipi huko Ukraine
Dogo umekaririshwa msikitini mwembechai

Vipi mafunzo yenu ya karate yanaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…