inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
"Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi." Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.Kuna video nimeona mzee wa upako anasema watu hawaja mwelewa vizur yesu amani na rehma iwe juu yake
Kwamba yesu alisema yule amwachae mkewe na kufuata mwanamke mwengine anazini,,ishu ni kumwacha,,,lakini sio kuongeza mke mwingine
Huyo ni mzee wa upako
Biblia haijakataza ndoa ya wake wengi