Vyura subirini Robo fainali mjue mnahamia timu gani tena maana nyie kila siku ni mashabiki wa timu mpya...mnateseka sana?Lazima mchezeshwe ndombolo siku hiyoView attachment 1045362
Hamuwez kutulia katika ndoaLazima mchezeshwe ndombolo siku hiyoView attachment 1045362
Labda tusubiri robo ya ungaVyura subirini Robo fainali mjue mnahamia timu gani tena maana nyie kila siku ni mashabiki wa timu mpya...mnateseka sana?
Huwa mnapigwa goli si chini ya 2 kwa waume zenu. Timu zote zilizopo kwenye kundi lènu zimewachapa kwenye mageto yao
Simba nae kafanyaje kwenye gheto lake?Huwa mnapigwa goli si chini ya 2 kwa waume zenu. Timu zote zilizopo kwenye kundi lènu zimewachapa kwenye mageto yao
Kimoja tu chaalii ngùvu zīkakaata
Itapita njiaGroup D #CAFCL
-Al Ahly Sc(Egy)
-Simba Sc(Tan)
-JS Saoura(Alg)
-Association Sportivè de Victorié/Vita Club(DRC)
Nimejaribu kuangalia Makundi yote manne yaliyopangwa Jana na CAF na nimekuja kugundua kuwa Simba imepata kundi lenye uafadhali kidogo kuliko angepangwa kundi A au C.
Imani yangu ni kwamba Simba Ina uwezo wa kushinda mechi kuanzia mbili hapa Taifa na angalau kupata sare Moja but Kufungwa simba Taifa ni Ndoto na haiwezekani.
Ukiangalia kwa makini Kundi la Simba unaweza kuhisi kuwa timu tishio ni Za Kiarabu Kwa maana kwamba Al Ahly na hiyo JS Saoura lakini kwa Maoni na imani yangu ni kwamba timu tishio kwa Simba kwenye Kundi lake ni AS Vita ya Kinshasa kwani Jamaa wana kasi na Ukiangalia soka letu linaendana hasa ukizingatia kuwa tunatoka ukanda mmoja.
Ndio maana naamini kuwa kwenye michezo yetu mitatu ya Home Sio Al Ahly au Saoura atayekuwa tatizo kwa simba bali AS Vita Ya Congo......ila point 9 home na sare angalau moja ugenini Kwa simba ni inevitable kabisa.
Angalizo: Msiidharau Simba hasa katika hatua hii kwani dhamira na malengo ni makubwa mno.
#ThisIsSimba
#SimbaNguvuMoja
#Yes-We-Can
Na wao wanakuja ghetto la maselaa wa k/kooHuwa mnapigwa goli si chini ya 2 kwa waume zenu. Timu zote zilizopo kwenye kundi lènu zimewachapa kwenye mageto yao
Watu wanakuja na vumbi la Congo lazima mpigwe goli nyingi
Hizo mlizopata ndo uwezo wenu ulipoishia
Msje mkakimbia uzi tu kama mlivyokimbia jùmamosi iliyopitaUsije ukaumbuka chura maana ni kawaida yako.
Huwa hatukimbii ila tanesco wanazingua kukata umeme kila Simba anapochezaMsje mkakimbia uzi tu kama mlivyokimbia jùmamosi iliyopita
Hahahahahahaha huo umeme unakatwa kwenu tu? Maaana tangu jumamos mkapotea mkaja onekana kuanzia jumatañoHuwa hatukimbii ila tanesco wanazingua kukata umeme kila Simba anapocheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unawasifu sana ushawatunukuWatu wanakuja na vumbi la Congo lazima mpigwe goli nyingi