Imeandikwa: Usimuache mwanamke mchawi aishi! Nimeapa kulipiza kwa gharama yoyote

Mkuu malizia basii πŸ”₯πŸ”₯
 
Kikawaida mwanaume ndio anaepaswa kuanzisha mahusiano athawais ni mtego na kuomba namba (Kosa kubwa ulilofanyaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…)
 
Itakuwa umerogwa uwe mduwanzi na huyo demu wako. Yani unasimulia kisa kama unaandika comment. Mistari miwili, itaendelea.
 
Shida ya sisi wanaume tuna njaa sana ya papuchi. Kuna wanawake tunatembea nao lkn moyoni hatuwezi kuwaoa.
Ndiyo maana huwa sitongozi wanawake ovyo. Nishakoma
Mkuu,,hata kuwa na yey alinipata kimiujiza.
 
Mkuu angalia usiishie jera,familia yako ikahangaika bure.
Yesu alipokuja alisema," Mimi nasema msilipe baya kwa baya..
lakini pia kumbuka wakati hiyo mistari inaandikwa sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzani zisiziamini uwepo wa uchawi hazikuwepo,na wewe ukilipa kisasi utahukumiwa kwa mujiba wa sheria ya jamuhuri wa muungano wa tanzania.
 
Nimeandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta, mwishowe nikaamua nisiandike nilichotaka kukisema.
 
Nimeandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta, mwishowe nikaamua nisiandike nilichotaka kukisema.
Ungeandika tu boss...

.hao jamaa huwaagua hata wanasiasa wetu ili wapate mvuto kwa wapiga kura.
 
Unanikumbusha Merlin chini ya dingi Arthur. Mtu akiwa mchawi ni kifo
 
Daah huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbuka sisi wanaume ni dhaifu kwa wanawake.
Ushajiuliza mwanamke unamzidi umri lakini hata kumtongoza unashindwa. Mwanamke anaweza kukuvuruga hata nyumbani ukapaona pachungu japo unamzidi umri pamoja na elimu.
Hisia ikizd akili lazima uungue shika hisia zako uokoe nafsi yako... Acha huruma kwa mwanamke
 
Ni kweli nishanitokea. Kuna wanawake wawili nilitembea nao tena walinitega wao. Nilijuta kwenye hayo mahusiano.
Ukimaliza kupiga unajuta, imekuaje. Wa pili hivyo hivyo. Tangia hapo sitongozi mwanamke hata akijilengesha. Huyu niliyenaye ananitosha na nimeridhika naye.
Hisia ikizd akili lazima uungue shika hisia zako uokoe nafsi yako... Acha huruma kwa mwanamke
 
Niletee maji yalikoshea maiti,kamba aliyojinyongea mtu,ubani maiti,ndimu kisirani,uzi ulioshonea sanda,sindano mbili za shaba,chumvi ya mawe,mayai viza,kiwembe kilichoota kutu na maji maji yaliyotoka kwenye pua ya maiti. Ukivipata hivyo niletee na kitambaa chekundu. Kazi ya usiku mmoja tu hiyo. Malipo baada ya watu kuanua tanga la huyo mbaya wako.
 
Inaendelea.........
Baada ya maandalizi ya Safari,nilifanikiwa kufika salama na kuanza upya maisha katika mkoa usika,,,Nilifanikiwa kununua fenicha na vitu muhimu baada ya kuingizwa kwenye payroll...Ingawa mkoa husika kulikuwa na maisha duni ya mzunguko wa pesa ila nilipambana mdogo mdogo Mambo yalikuwa shwar maana sikuwa na familia Wala mtegemez hata mmoja.

Baada ya mwez mmoja,,Kuna siku huyu F"alinipigia simu na kuniambia nimtumie 40 elfu mtoto wake anadaiwa shule,nilikataa kata kata na kumuambia iweje mm nimsomeshe mtoto wa mwanaume mwenzangu wakati baba yake yupo hai pia Mimi sina hata mtoto!!?

Tuligombana Sana maana alikuwa analalamika kwamba mimi baada ya kupata kaz nimebadilika na simtunzi,,ilinibidi nimueleze ukweli kwamba mimi naona sioni future Kati yetu isitoshe yeye Ana watoto pia kiumr kwangu ni mkubwa,,hivo sihitaj nimpotezee muda.

Baada ya hapo hatukutafutana Tena pia mm nilifuta namba yake. Sasa baada ya mwez mbele toka tuachane Rasmi,,nilihis tupo linyajaa ges hata nikinywa maji Kisha gafla ndani ya wiki moja sikuweza kusimamisha Wala kiungo cha kiume kutikisika hata niwekewe porno,,hivo nilihis hili si Jambo la kawaida

Baada ya mazoea na muingiliano na wanakijiji pale wilayani nilizoeana na mzee mmoja ambaye alitokea kuwa karibu na mm,,,nilimhadithia tukio zima huyo mzee ambaye alikuwa ni mganga wa jadi ( Apumzike kwa aman),,baada ya kumthimulia aliniambia nitafute kuku jogoo mwekundu Kisha akaniagua(sihamasishi Urozi)Kisha Hali yangu ikarudi Kama mwanzo.

Ingawa kwa kipindi hicho sikua na uhakika Kama huyu F ndio anafanya hivo au la,,, maisha yaliendelea.
Baada ya mda pale ofisini kwangu kuanzia boss wangu Hadi Hawa watu wa chini wakawa wananichukia bila kosa lolote,,nilivumilia haswa ujana na utoto pia ndio Kwanza nilikuwa na mwez wa nne kazin hivo nilichukulia poa labda upepo tuu utapita,,,taratibu ile chuki na boss wangu iliongezeka na kuwa kubwa pia maisha kwa upande wangu yakawa magumu kupita Kia's hata pesa za hapa na pale sikuwa napata pia nikipokea mshahara ikifika tar 23/24 Sina hata Mia,,ilinibidi nitafakali kwa kina ,sikijua ni akili yangu mwenyewe au ni nguvu za nje ilinibidi niache kaz mm mwenyewe na kuamua kurudi dar maenea ya tabata bima na kupanga chumba Kisha kuendelea na maisha ya mtaani,,,

Baada ya mwez mbele,nipata kaz Kama sikosei ni Boko ( mbele kidogo ya tegeta nyuki). Nilifanikiwa kufanya kaz pale Kisha mmiliki wa hiyo ofisi ghafla alianza kunichukia ndani ya siku 22 alinipigia mahesabu ya mshahara wangu Kisha akaniachisha kaz,,Nilirudi gheto sikuweza kutafakar kiundani kwa kina nadhan sikuwa na uzoefu na maisha ya mtaani(kumbuka nilikuwa ndio nimetoka chuo miez kadhaa nyuma)(2013/4)
Baada ya mwez mmoja mbele nilipata Tena kibarua kigamboni /Tungi,,kwa kifupi nilifanya kaz kwa maadili yote na ma staff wote walikuwa wananikubali ila Kuna staff mmoja aliweza kwenda nichomea kwa boss Kuna Mambo mabaya nayafanya kiliitishwa kikao baada ya mahojiano ilionekana nimechongewa kesi hivo niliambiwa niendelee na kaz tuu.

Baada ya miez kadhaa niliingia kwenye mahusiano na msichana mmoja Kisha Mambo yalienda vizuri,,,baada ya hapo miez kupita nilifanikiwa kupata nafas ya kaz serikalini mkoa mmoja jirani na Dar,,ilinibidi niende kuriport Kisha nilienda kuaga pale tempo na kuelekea kituo kipya Cha kazi.

Nilipofika nilifuata taratibu zote na kupewa kianzia maisha na kuanza upya maisha kutoka dar,Bas baada ya miez mitatu mbele hapo kituo kipya aliletwa boss mpya mdada/mmama
Maisha yaliendelea ups and down za hapa na pale,,niliendelea kupambana ghafla boss na baadhi ya mastaff wakaanza kuonyesha chuki bila sababu(kawaida yangu mm sio muongeaji Sana,sio mlevi ,sio mtu wa kujikweza pia sipendi kumchongea au kumfitini mtu yoyote kwa boss)

Hali hii iliendelea Sana hivo kwa kuwa nilikuwa na mtandao wangu kipindi hicho Cha JK ,nilianza kuandaa mipango ya kuhamia mkoa X labda inaweza nisaidia.
Baada ya mda mm na girl friend wangu bila sababu maalum aliniambia tuachane hayupo teyar kuwa na mm,hivo nilimsikiliza nikamwambia sawa nimekuelewa ilinibidi nikubali matokeo.

Pia toka niachane na yule F uwezo wa kuota ndoto ulipotea kabisa,,yaan ndoto yoyote sikuweza kuota na nilikuwa nikiota nikiamka sikumbuki chochote nilichoota,,,pia kila nilipokuwa naingia kwenye mahusiano na msichana,. wote walikuwa ni tofauti na Imani yangu ya dini.
....itaendelea.....


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
...... Inaendelea........

Baada ya kuachana na girl friend,,nilipata girlfriend mwingine,,,pia maisha yaliendelea Kama kawaida pamoja na uchumi wangu kuwa mgumu kupita Kiasi,,Nilidumu nae huyo girlfriend kwa miez kadhaa Kisha nilifikia hatua ya kwenda kwao kujitambulisha,na hatua ya kumtolea posa mipango ikaanza,,,ghafla bin vuu huyo wife to be akanipigia simu bila ugomvi Wala sababu maalum akaniambia tuachane,,niliumia ila kwa kuwa sipelekeshw na mapenz na pia najiamini ilinibidi nikubaliane nae na kumpotezea,,,

Baada ya kuachana na F" ilipita takriban miaka 6 ila Cha kushangaza kila mwaka haswa mwanzo wa mwaka Kati ya mwez wa Kwanza au wa pili lazima anipigie na huwa alinikuwa anajifanya amekosea namba Kisha hujitambulisha yeye ni nan ,baada ya kumtambua huwa alikuwa ananiulizia Kuhusu kazini kunaendeleaje au zaid alikuwa ananiulizia Kama teyar nimeshafunga ndoa ,,,,Swali hili aliniuliza mfululizo Zaid ya miaka mitatu bila mm kumtambua huwa anamaana gan!,,kila alipokuwa ananipigia mwez wa Kwanza hakunipigia Tena Hadi mwaka mwingine mwez wa Kwanza au wa pili tuu na si Zaid ya miez hiyo,,,

Pamoja na kupoteza uwezo wa kuota njozi au nikiota nashindwa zikumbuka nikipatwa na Jambo lingine ambalo uwezo wa kukumbuka kitu/vitu ulikuwa mdogo Sana Kiasi kwamba nikienda hata dukan hushindwa kukumbuka nin nimeenda nunua.....

Baada ya maisha kuendelea mkoa X Hali ya maisha ilizidi kuwa mbaya pia kila nilichopangilia/kipanga sikufanikiwa kabisa,,,Na kila alipokuwa ananipigia simu kunisalimu alikuwa akiniulizia Kuhusu kazini bas baada ya siku kadhaa napatwa na mikosi au Hali ya kiuchum inayumba kupita Kiasi,,,

Kwa Mambo jins yalivyokuwa yanaenda nikaona isiwe tabu acha nipange mipango ili niweze amia mkoa mwingine kunusuru Hali ya maisha kiujumla....

Nilifanikiwa kuandaa mipango mikakati madhubuti ,,nilijipanga Kisha kuandaa Barua ya uhamisho na kuipeleka kwa wakubwa wangu Kisha mbele baada ya mwaka na nusu tangu nianze kaz mkoa X nikafanikiwa kuhamia mkoa Y mbali kabisa na mkoa X ,,,,.
Itaendelea ......

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…