Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

Ana iPhone si ndio? Nina mtu mmoja official ana iPhone 14 PM ila ni ghost viewer wa status na hana blue tick akisoma message.
Nikisikia sijui mnalipia watu wa iPhone. Sikufuatilia zaidi
Wala sio kulipia mkuu.. ni amezima read receipts.
Ukizima inaondoa blue tick, na nikiview status hunioni.
IMG_2064.jpeg
 
Back
Top Bottom