Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

Ana iPhone si ndio? Nina mtu mmoja official ana iPhone 14 PM ila ni ghost viewer wa status na hana blue tick akisoma message.
Nikisikia sijui mnalipia watu wa iPhone. Sikufuatilia zaidi

Ukitoa blue tick unaview status ya mtu bila kuonekana na wewe hauwaoni wakiview yako. Hii ipo kwenye official whatsap
 
Back
Top Bottom