Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

S
Tunazima bana
Kuondoa zile ooh nakuona online na hujibu sms.. inaboa 😂😂😂
Sijawahi tumia mods za Whatsapp na sijawahi tumia iPhone tangu niione iPhone 11 kipindi imetoka na ikawa ni LCD ndio niliijaribu kwa brother wangu nikaona ni simu ya kawaida. Alikuwa anaisifia sana ghafla nikashangaa ni LCD, later on nikaja kugundua 11 Pro ndio OLED ila nikawa nishaamini iPhone wachelewaji wa tech nyingi.
 
Tuliza presha Kaka,,,na jitahidi uamue Kwa akili zaidi kuliko matumizi ya hisia zaidi!!
 
Tuliza presha Kaka,,,na jitahidi uamue Kwa akili zaidi kuliko matumizi ya hisia zaidi!!
Hisia sometime zinasaidia Sana Tu...akili sometime kwa mambo kama haya ni kupoteza muda Tu.
 

Attachments

  • FF879CF1-B107-481C-97F7-1AE8E8D048A9.png
    FF879CF1-B107-481C-97F7-1AE8E8D048A9.png
    63.8 KB · Views: 2
Labda nikuulize ushawahi kukopesha watu fedha ? Sio fedha tu bali fedha amount kuanzia M+ ivi ila isivuke 20M ishia 15 M ...sasa mdeni wangu lzm nimfutilie ktk rada zote
ila kweli man hapo umeweka concrete point lazima nifatilie
 
Mimi kuna mtu ninajua ana kifaa ambacho hakisupport un official wasap. Lakini huu mkorogo nimeuona

Mmmh inawezekanaje? Labda ana whatsap mbili ambayo moja ipo kwenye kifaa ambacho hakisuport na nyingine ipo kwenye android.
 
Back
Top Bottom