Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

Ana iPhone si ndio? Nina mtu mmoja official ana iPhone 14 PM ila ni ghost viewer wa status na hana blue tick akisoma message.
Nikisikia sijui mnalipia watu wa iPhone. Sikufuatilia zaidi
Hapana.. hakuna kitu kama hicho kwenye iphone.. ni ile read receipt tu ndio inakua ime turn off kwenye sehemu ya settings ndani ya whatsapp ..
 
Last seen refers to the last time the contact used WhatsApp. Through our privacy settings, you have the option to control who can see your last seen and online. You may not be able to see someone's last seen or online unless they have you saved as a contact. Kutoka Google.
Mambo mengine wala sio ya kuuliza hapa.
 
Sidhani…

Ukiwa unamtext mtu, uwanja wa wasap hapo. Unaona last seen, unaweza ona saa 4 asbh, na hapo unamtext ni mchana. Lakini boom kakujibu
Zile tick aki receive ndo huwa naona tu
 
Back
Top Bottom