luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
BackdatedWakubwaa eh
Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana
Ni official whatsAppGB WhatsApp izo sijui. Kuna watu zinasoma mwaka juzi.
Mimi kuna mtu ninajua ana kifaa ambacho hakisupport un official wasap. Lakini huu mkorogo nimeuonaHivo inaitwa ku freez last seen yaaani kugandisha last seen!
Ipo kwenye hizi mods za whatsapp
Sidhani…Umefikia kiwango kikubwa sana cha kufatilia maisha ya watu
Ana iPhone si ndio? Nina mtu mmoja official ana iPhone 14 PM ila ni ghost viewer wa status na hana blue tick akisoma message.Mimi kuna mtu ninajua ana kifaa ambacho hakisupport un official wasap. Lakini huu mkorogo nimeuona
Duh nishapitwa umri unanikimbia.Ni official whatsApp
Nimekiona hiko kitu..
Unamuona mtu last seen saa 4, lakini anareply sms ya saa 5.
Wala hulipii, unaenda kwenye settings- privacy- read receipts unai turn offAna iPhone si ndio? Nina mtu mmoja official ana iPhone 14 PM ila ni ghost viewer wa status na hana blue tick akisoma message.
Nikisikia sijui mnalipia watu wa iPhone. Sikufuatilia zaidi
Wala sio kulipia mkuu.. ni amezima read receipts.Ana iPhone si ndio? Nina mtu mmoja official ana iPhone 14 PM ila ni ghost viewer wa status na hana blue tick akisoma message.
Nikisikia sijui mnalipia watu wa iPhone. Sikufuatilia zaidi
Oya jibu meseji zangu. WhatsApp.Wala sio kulipia mkuu.. ni amezima read receipts.
Ukizima inaondoa blue tick, na nikiview status hunioni. View attachment 2774681
Unaturn off nini.Wala hulipii, unaenda kwenye settings- privacy- read receipts unai turn off
Mna mambo nyinyi wanawake...Hivo inaitwa ku freez last seen yaaani kugandisha last seen!
Ipo kwenye hizi mods za whatsapp
Lazima atakuwa mwanamke huyo..Wakubwaa eh
Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana