Tumia akili tofautisha pesa ya umma na ile ya mtu binafsiTundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Itaonekana ni hoja ya kipuuzi kwa baadhi ya watu ila ilitakiwa wasitumie hizo gari sabab wamekua wakisema serikal inatumia pesa nying kununua gari za viongoz.Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
"Ghari" ?Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
[emoji23][emoji23] ghari ni EXPENSIVE au ulitafta kasoro ya gari."Ghari" ?
Ndio nini hicho?
Una bahati mods wamerekebisha utopolo wako.
Kuwa mzalendo ![emoji23][emoji23] ghari ni EXPENSIVE au ulitafta kasoro ya gari.
Sio ghari ni ghali[emoji23][emoji23] ghari ni EXPENSIVE au ulitafta kasoro ya gari.
Kasema mkuu wewe fuatilia- sisi ni watuwazima kwa nini tumzulie mtu- tusichokitaka na tunachotaka kuonyesha ni usanii wake hata kama tunaelewa kinachoendelea. Ila kughiribu watu siyo sawa.Una bahati mods wamerekebisha utopolo wako.
Kama unaongelea alipokuwa anaongelea tukio lake la kushambuliwa, gari lake la wakati ule ni la wabunge na pia Lissu hakuwa tu Mbunge wa kawaida, alikuwa pia kiongozi mkubwa bungeni.
Na pia Lissu hajawahi kuwa na ajenda ya kubana matumizi ya serikali. Ajenda yake siku zote ni ufujaji na wizi unaotokana na pesa kupotea na watu kutowajibishwa.
Ndiyo mnalowaza hilo badala ya kufanya mambo ya maana kwa ajili ya nchi, nyie mnaiba pesa kujiandaa kwa chaguzi.mwaka 2025 tutawaonyesha kazi kwenye uchaguzi
Hamna hoja. Hivi si unaongelea gari ambalo liko polisi mpaka leo limejaa matundu ya risasi, si ndiyo?Kasema mkuu wewe fuatilia- sisi ni watuwazima kwa nini tumzulie mtu- tusichokitaka na tunachotaka kuonyesha ni usanii wake
Unaongelea gari hili siyo ambalo hajaliendesha toka shambulio lake na liko kwenye mikono ya serikali.Wanasiasa huadhibiwa kwenye sanduku la kura- kama siye wezi kura zitasema 2025
Mjinga wewe, Gari ka Lissu alipewa na serikali Ksma kiongozi wa upinzani bungeni.Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Kaliongelea yeyeUnaongelea gari hili siyo ambalo hajaliendesha toka shambulio lake na liko kwenye mikono ya serikali.
View attachment 2507075