Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Tumia akili tofautisha pesa ya umma na ile ya mtu binafsi
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Itaonekana ni hoja ya kipuuzi kwa baadhi ya watu ila ilitakiwa wasitumie hizo gari sabab wamekua wakisema serikal inatumia pesa nying kununua gari za viongoz.

Wangekuwa wanaziuza kisha kununua gari za milion 40 - 50 pesa inayobak wanaitumia kuleta maendeleo kwa wananchi either kuchimba visima or chochote kile,tungeona wanadhamira ya dhati kusaidia wananchi.

Kuattack serikal inanunua magari ya garama huku wew ukiendelea kutumia moja ya hizo gari inaonesha kuna shida mahali.
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
"Ghari" ?
Ndio nini hicho?
 
Una bahati mods wamerekebisha utopolo wako.

Kama unaongelea alipokuwa anaongelea tukio lake la kushambuliwa, lilikuwa gari lake binafsi na pia kumbuka Lissu hakuwa tu Mbunge wa kawaida, alikuwa pia kiongozi mkubwa bungeni usimchukulie poa.

Na pia Lissu hajawahi kuwa na ajenda ya kubana matumizi ya serikali. Ajenda yake siku zote ni mamlaka kutozingatia sheria, ufujaji na wizi unaotokana na pesa kupotea na watu kutowajibishwa na matumizi yasiyoainishwa na bunge.
 
Una bahati mods wamerekebisha utopolo wako.

Kama unaongelea alipokuwa anaongelea tukio lake la kushambuliwa, gari lake la wakati ule ni la wabunge na pia Lissu hakuwa tu Mbunge wa kawaida, alikuwa pia kiongozi mkubwa bungeni.

Na pia Lissu hajawahi kuwa na ajenda ya kubana matumizi ya serikali. Ajenda yake siku zote ni ufujaji na wizi unaotokana na pesa kupotea na watu kutowajibishwa.
Kasema mkuu wewe fuatilia- sisi ni watuwazima kwa nini tumzulie mtu- tusichokitaka na tunachotaka kuonyesha ni usanii wake hata kama tunaelewa kinachoendelea. Ila kughiribu watu siyo sawa.
 
mwaka 2025 tutawaonyesha kazi kwenye uchaguzi
Ndiyo mnalowaza hilo badala ya kufanya mambo ya maana kwa ajili ya nchi, nyie mnaiba pesa kujiandaa kwa chaguzi.
 
Kasema mkuu wewe fuatilia- sisi ni watuwazima kwa nini tumzulie mtu- tusichokitaka na tunachotaka kuonyesha ni usanii wake
Hamna hoja. Hivi si unaongelea gari ambalo liko polisi mpaka leo limejaa matundu ya risasi, si ndiyo?

Hilo gari ndiyo unataka umuadhibie kwenye sanduku la kura siyo?
 
Ndiyo mnalowaza hilo badala ya kufanya mambo ya maana kwa ajili ya nchi, nyie mnaiba pesa kujiandaa kwa chaguzi.
Wanasiasa huadhibiwa kwenye sanduku la kura- kama siye wezi kura zitasema 2025
 
Wanasiasa huadhibiwa kwenye sanduku la kura- kama siye wezi kura zitasema 2025
Unaongelea gari hili siyo ambalo hajaliendesha toka shambulio lake na liko kwenye mikono ya serikali.

images - 2023-02-05T115818.935.jpeg
 
Kuna watu wanaanzisha mada humu halafu ndio wanajinadi kuwa ndio mabingwa wa kujibu hoja za upinzani unaona huruma na aibu juu.
Kwani Lissu au Mbowe au hata diwani wa Chadema akitumia gari ya kifahari inahusianaje na matumizi ya fedha za umma?
Umewahi ona magari binafsi ya wabunge au viongozi wengine wa serikali yakihojiwa kuwa ni matumizi mabaya ya fedha zao?
HOJA NI FEDHA ZA UMMA kununua na kuendesha magari ya kifahari katika serikali masikini inayoshindwa mambo muhimu!
Kama CCM ndio inawatuma Kalumekenge (waliokataa kwenda shule) kama hawa kuwajibia basi ni chama kinachotembea kikiwa mfu.
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Mjinga wewe, Gari ka Lissu alipewa na serikali Ksma kiongozi wa upinzani bungeni.
Gari alilokywa abate mbele and ni la serikali na liko sawa na magari ya mawaziri
Hata Mbowe Gari alikokuwa anatumia 2015 mpaka 2020 lilikuwa la Bunge. Lilitolewa na serikali
 
Back
Top Bottom