Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Barca hana ubavu wa kwenda toe to toe against this PSG team!
Game mbili za mwisho Barca amestruggle kupata matokeo kwa Madrid, pamoja na defense mbovu aliyokuwa nayo Madrid.
Barca hiihii au ile ya Messi?
Muda huo Fabian Luiz, Kvara, Dembele na huyu mtoto aliyeweka rangi za ukindu kichwani, wanamwita Doue sijui wamelala usingizi wa pono!?Nakubaliana nawe lakini pia striking force ya Barcelona inaweza ikamaliza mchezo
Kwa sasa ni Barcelona pekee ambayo inaweza kwenda toe kwa toe na PSG
Eti ilistruggle! Hivi uliangalia hizo games na stats zake?
PSG wanacheza mpira wote, wakitaka kupossess,kukushambulia kwa kushtukiza, kukaba wanakaba wote.Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Muda huo Fabian Luiz, Kvara, Dembele na huyu mtoto aliyeweka rangi za ukindu kichwani, wanamwita Doue sijui wamelala usingizi wa pono!?
Beki ipi ya Barca inawapiga kufuri hao kipindi hiyo striking force ya Barca inataka kumaliza mchezo?
Hawa jamaa kwa mbali sana wananikumbusha Barca ya kipara.PSG wanacheza mpira wote, wakitaka kupossess,kukushambulia kwa kushtukiza, kukaba wanakaba wote.
PSG wazuri sana wakikujibu mashambulizi hasa transition yao ni moto so ukiwa na beki mbovu unakula nyingi..kuwazuia basi uwe na viungo wapambanaji na mabeki wazuri maana wao wenyewe wanajaza viungo tu.
Barca beki siyo nzuri hadi kipa wao. PSG wanatimu wale jamaa shida watu wanataka majina ya wachezaji ndo yacheze.View attachment 3399872
Game mbili za mwisho kati ya Barca na Madrid hizo hapo, huko ndio tunaita kustruggle AKA ushindi mwembamba.
Wote tumeona kitu alichofanywa Inter alipokutana na PSG, huyu Inter aliruhusiwa kupata goli 7 katika mechi mbili dhidi ya Barca, alipigwa na PSG 5 bila tukishuhudia.
Leo tumeshuhudia Real Madrid alivyodhalilishwa bila kupata hata goli moja.
Leo Madrid kafa 4 bila majibu.
Kuifunga RMA goli 3 hadi 4 unasema ni ushindi mwembamba?View attachment 3399872
Game mbili za mwisho kati ya Barca na Madrid hizo hapo, huko ndio tunaita kustruggle AKA ushindi mwembamba.
Wote tumeona kitu alichofanywa Inter alipokutana na PSG, huyu Inter aliruhusiwa kupata goli 7 katika mechi mbili dhidi ya Barca, alipigwa na PSG 5 bila tukishuhudia.
Leo tumeshuhudia Real Madrid alivyodhalilishwa bila kupata hata goli moja.
Leo Madrid kafa 4 bila majibu.
Luis kaitengeneza ile Barca ya 2015 ya MSN ndo ulikuwa mpira wao, yaan wanacheza mpira wote unaotaka wewe.Hawa jamaa kwa mbali sana wananikumbusha Barca ya kipara.
Barca siraha yao ni kupossess tu..
PSG wa moto ila walitembelea kucha Aston Villa 3-2 PSG UEFA CL quarter final 2024/2025 hadi alipaki basi.Hawa jamaa kwa mbali sana wananikumbusha Barca ya kipara.
😂😂😂Muda utaamua naomba sana wakutane.
Kiungo cha Barcelona na frontline kikiwaka unafikiri Hakimi atakuwa na mapafu ya mbwa kupanda mbele?
Dimba la kati Pedri ni mtamu kuliko Vitinha kwenye kucreate chance na hapo haujamgusa mtoto wa kidachi De Jong
Mbona tunadanganyana waziwazi mkongwe!?PSG wa moto ila walitembelea kucha Aston Villa 3-2 PSG UEFA CL quarter final 2024/2025 hadi alipaki basi.
Wakati mwingine mpira huwa una matokeo ya kushangaza sana.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ni mwembamba kwa Sababu hakuna timu pale ni jina tu limebakiKuifunga RMA goli 3 hadi 4 unasema ni ushindi mwembamba?
Ushindi mwembamba ni tofauti ya magoli baina ya timu iliyoshinda na iliyofungwa!Kuifunga RMA goli 3 hadi 4 unasema ni ushindi mwembamba?
Hukuangalia mpira, mi mwenyewe nilikuwa upande wa PSG kwa sababu za mikeka ila niliteseka sana.Mbona tunadanganyana waziwazi mkongwe!?
Hivi unajua hata maana ya kupaki basi kweli?
View attachment 3399878
Nilichokiona mimi kwenye hii game ni kuwa baada ya PSG kupata goli 2 za mapema, walirelax wakiamini kuwa wameshaimaliza mechi, hiki ndicho kilichowagharimu.
Ila kusema PSG alipaki basi ni kutudanganya AKA kutupanga.