Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

Balaaa tupu aisee ile turning ya barcola goli la nne ni nyokoooo!
Vitinha ndio usiseme mpira anaupapasa tuu.
Lends u the ball then takes it back, huku hakimi ndio balaa anapamda kama anashuka.
Hii timu imekamilika kila idara mzeya raha sana kuichemi ikicheza
Umemashau mmakonde mmoja kiboko ya lamine yamal mendez yule bwana ni mende haswa
 
Ilipofika January 2025 mifumo ya Luis Enrique ilkuwa imekaa sawa. Wakaanza kuubonda in style and fashion wakikutana na timu za Ulaya.

UEFA walistahili na hata hili kombe la dunia wanastahili pia vinginevyo Chelsea wajitahidi kuvuja jasho sana uwanjani. Jana Madrid alifanywa mbovu kupita maelezo. Ile energy na jinsi wanavyooverload eneo pinzani wakishambulia ni hatari sana.
Dembele anafanya pressing kama Ngolo Kante!

Hauogopi!?
 
Muda ndiyo hakimu wa yote,walipata shida sana kwa misimu kadhaa, mzigo wameuhamishia Madrid, zamani kila pasi alikuwa anatafutwa Mbape,saizi wao wanacheza kitimu kila mmoja wao anaweza kufunga kwa kutokea popote, lakini Madrid Mbape akiwemo tu uwanjani,kila pasi inalazimishwa kwenda kwake.

PSG ndiye bingwa wa CWC
Unaamini tatizo la PSG ilikuwa Mbampe na Madrid ni Mbampe
 
Hao PSG wako vizuri Sana.
Wapinzani ambao waliwasumbua ni Liverpool tu.
Ngoja tuone UCL msimu ujao.
Me naona tim iliyowapa changamoto hawa psg ni bayern juzi ingawa alifungwa lakin alibattle sana,,liver alizidiwa sana kipa ndo aliwapeleka penati
 
Huyu mbwa Aliwaokoa Liverpool na udhalilishaji.
Ni kazi yake, ila alinikera sana!!!


 
Maua apewe kocha ....hao wachezaji walikuwa wakawaida sana kabla yakutua hapo...
Mfumo wa kocha umetiki
Mfumo wa kocha pekee bila kuwa na wachezaji bora ni bure. Muulize Anceloti wa Everton atakusimulia. Lakini alipoenda Bernabeu ubora wake ukarudi.

Kocha mzuri akikutana na wachezaji wazuri mambo yanatiki haraka sana. PSG ina wachezaji bora kwa sasa.
 
Vitinha alikuepo EPL pale..
Dembele barca ulimuona
PSG ilkuwa na kina messi ila ilkuwa mlenda tu...
Kocha yupo njema mzee
 
Umemashau mmakonde mmoja kiboko ya lamine yamal mendez yule bwana ni mende haswa
Huyo dogo hafai!
Ndani ya msimu mmoja amenipigia kufuri watu wafuatao:
1. Salah
2. Saka
3. Yamal
4. Olise

Hakuna winga mbovu hapo!

GvcgjwQWAAAf677.jpeg
 
Vitinha alikuepo EPL pale..
Dembele barca ulimuona
PSG ilkuwa na kina messi ila ilkuwa mlenda tu...
Kocha yupo njema mzee
Upo sawa kabisa Enrique yupo njema lakini hata mwanzo makosa yalikuwa yao Messi alikuwa ameisha hakutakiwa kuja PSG, huyo Messi si alipigwa na bayern 8
 
Upo sawa kabisa Enrique yupo njema lakini hata mwanzo makosa yalikuwa yao Messi alikuwa ameisha hakutakiwa kuja PSG, huyo Messi si alipigwa na bayern 8
Mbappe..
Hiki kikosi akipewa mwingine kinaweza kisiwe hivi...
Yeyote psg anaweza kufunga...
Unamkumbuka wenger?
 
Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!

Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?

Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?

Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.

Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Wale konyo sana.
 
Back
Top Bottom