Ni kweli but maana yangu ilikuwa ukiwapokonya kupossess ni rahisi sana kuwafunga maana kujilinda hawako vizuri sana kama PSG so siraha yao hasa ni kumiliki mpira.Barcelona ya sasa hawategemei kupossess tu kama umeangalia games zao chini ya Flicks utagundua kuwa wana mpira wa kasi pia kwenda goli la mpinzani
Ndicho kitu ambacho Mashabiki maandazi huwa hawataki kusikia kabisa, wanadhani ukubwa wa jina na mafanikio ya Real Madrid ni kila mwaka, kumbe kuna zama ambazo Wachezaji hushuka viwango ilihali timu zingine huwa vizuri kiusajili na makocha bora kutoa upinzani kama kilichomkuta leo dhidi ya PSG.Ni mwembamba kwa Sababu hakuna timu pale ni jina tu limebaki
Sawa!Hukuangalia mpira, mi mwenyewe nilikuwa upande wa PSG ila niliteseka sana.
Unavyopumbazwa navyo hapo ni ball possession, total passes na pass accuracy, nakati hata back passes huwa zinajumuishwa ktk ball possession, acha ubishi wa Waha au Wapemba ili upate maarifa zaidi Mkuu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Yes, nilimuua Aston Villa niingize maokoto, mapene ni muhimu sana kwangu kuliko hata ushabiki wa mpira.Sawa!
PSG dhidi ya Aston Villa iliteseka sana na ilipaki basi.
Tayari mkongwe, nimeacha ubishi.
Timu zote za ligi 4 bora kazipopoa. SPAIN,ITALY,ENGLAND na FRANCE kwenyewe ndo hawataki kuisikia, wamebeba makombe yote.Tukubali jamaa wako form mwaka huu.πππ
Utasema hatuna macho, huyo mtoto wa kidachi anapoteza mali hatari.
Kama kiungo chao kilishindwa kuwaka kwenye game zote mbili za Inter kitawezaje kuwaka dhidi ya PSG!?
Chief hii backline ya PSG imeshakutana na Arsenal, imeshakutana na Liverpool, imeshakutana na Bayern, imeshakutana na Inter, imeshakutana na Real Madrid leo.
Sidhani kama tunaidai.
Bila kusahau, huyo Lamine Yamal juzi tu hapa ametoka kupigwa kufuri na Nunes (Portugal vs Spain).
Namlaumu sana Alison Becker, kuna kitu ametunyima kwenye kuizungumzia PSG!Timu zote za ligi 4 bora kazipopoa. SPAIN,ITALY,ENGLAND na FRANCE kwenyewe ndo hawataki kuisikia, wamebeba makombe yote.Tukubali jamaa wako form mwaka huu.
Chelease mwenyewe anatakiwa kupambana ili achukue hilo kombe..akienda kichwakichwa atapgwa.
Alonso hana maisha marefu.Madrid ni wabovu sanaaa! Kupigwa nyingi ni kawaida
Naona Jezi za PSG zikienda kuvaliwa kwa Wingi sana na warembo, Jezi za Palmeiras zinaenda kupumzishwa kwanza maana Oda za Jezi za PSG zimekua nyingi sanaBarcelona hii ya kuruhusu kufungwa magoli mengi na Inter Milan mbovu ile?
Ni kweli but maana yangu ilikuwa ukiwapokonya kupossess ni rahisi sana kuwafunga maana kujilinda hawako vizuri sana kama PSG so siraha yao hasa ni kumiliki mpira.
PSG hata ukiwapokonya possession huoni unawafungia wapi at the same time full backs zao zote mara nyingi ndo zinazopeleka mashambulizi yakushtukiza mbele rejea game na Bayen munich, Bayen walikuwa wanamiliki sana mpira ila hatari chache sana wakati wao mipira miwili au mitatu ya hatari wanakuadhibu na mara nyingi wanakufunga goli za mapema kukivuruga.
Luis kaitengeneza ile timu kimbinu zaidi inatakiwa kuwe na kocha wakutegua hizi mbinu na si kutegemea maamuzi ya mchezaji mmoja mmoja kama wanavyofanya Madrid. Nashindwa kuelewa Liverpool alitowaje kwa penalt na hawa kenge.
Ilipofika January 2025 mifumo ya Luis Enrique ilkuwa imekaa sawa. Wakaanza kuubonda in style and fashion wakikutana na timu za Ulaya.Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Walimpiga mbabe wao kwenye fainali ya UEFA kama amesimama au umesahau?Wakutane na Barcelona tuufunge mjadala
Wakiifunga Barcelona hapo basi π
Hamna kitu hapo. Hiyo kwa PSG ni sawa na vijana wa Mangungu tu mbele ya Vijana wa Hersi.Udambwi udambwi utakuwa mwingi sana
Wakimkaba Yamal kule kuna Raphinha, Ferran au Lewy
Dimba la kati kati kuna nyungu nyungu Pedri
Man U ni sawa na Simba kumsajili Pa Jobe.Eti timu kama Manchester hawawez hata kusajili hata mipango hawana eti wanamtaka Vardy..pumbavu halafu ndio uje kushindana na psg hii?
Kwa sasa Ulaya ni PSgG na Bacca basi.Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Crefisa ipumzike πππNaona Jezi za PSG zikienda kuvaliwa kwa Wingi sana na warembo, Jezi za Palmeiras zinaenda kupumzishwa kwanza maana Oda za Jezi za PSG zimekua nyingi sana
Barcelona wanavuja sanaaa! Wakitibu huo ugonjwa hata PSG hawa watapata tabu. Barca bado ni timu ya BOTH TEAMS TO SCORE π€£π€£π€£Kwa sasa Ulaya ni PSgG na Bacca basi.
Kweli japo na wao Liverpool walichofaulu ni kupunguza magoli ya kufungwa tu ila kama ball PSG waliubonda sana games zoteHao PSG wako vizuri Sana.
Wapinzani ambao waliwasumbua ni Liverpool tu.
Ngoja tuone UCL msimu ujao.