Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,467
- 3,496
Mkuu huyo Yamal amecheza na Kina Vittina,Nuno mendezi,Vittina na Joao Nevez kwenye fainal ya Uefa National team!Ya Messi iliyofungwa goli 8 na Bayern? Tunazungumzia hii ya Yamal na janja wenzake
Udambwi udambwi utakuwa mwingi sana
Wakimkaba Yamal kule kuna Raphinha, Ferran au Lewy
Dimba la kati kati kuna nyungu nyungu Pedri
Umemashau mmakonde mmoja kiboko ya lamine yamal mendez yule bwana ni mende haswaBalaaa tupu aisee ile turning ya barcola goli la nne ni nyokoooo!
Vitinha ndio usiseme mpira anaupapasa tuu.
Lends u the ball then takes it back, huku hakimi ndio balaa anapamda kama anashuka.
Hii timu imekamilika kila idara mzeya raha sana kuichemi ikicheza
Dembele anafanya pressing kama Ngolo Kante!Ilipofika January 2025 mifumo ya Luis Enrique ilkuwa imekaa sawa. Wakaanza kuubonda in style and fashion wakikutana na timu za Ulaya.
UEFA walistahili na hata hili kombe la dunia wanastahili pia vinginevyo Chelsea wajitahidi kuvuja jasho sana uwanjani. Jana Madrid alifanywa mbovu kupita maelezo. Ile energy na jinsi wanavyooverload eneo pinzani wakishambulia ni hatari sana.
Tena ile ngoma inayokaribia kupasukaBarca, kwa defense ipi mkongwe!?
Hii Barca iliyoiruhusu Inter ipate goli saba katika mechi mbili?
Atapigwa kama ngoma!!!
Unaamini tatizo la PSG ilikuwa Mbampe na Madrid ni MbampeMuda ndiyo hakimu wa yote,walipata shida sana kwa misimu kadhaa, mzigo wameuhamishia Madrid, zamani kila pasi alikuwa anatafutwa Mbape,saizi wao wanacheza kitimu kila mmoja wao anaweza kufunga kwa kutokea popote, lakini Madrid Mbape akiwemo tu uwanjani,kila pasi inalazimishwa kwenda kwake.
PSG ndiye bingwa wa CWC
Me naona tim iliyowapa changamoto hawa psg ni bayern juzi ingawa alifungwa lakin alibattle sana,,liver alizidiwa sana kipa ndo aliwapeleka penatiHao PSG wako vizuri Sana.
Wapinzani ambao waliwasumbua ni Liverpool tu.
Ngoja tuone UCL msimu ujao.
Mfumo wa kocha pekee bila kuwa na wachezaji bora ni bure. Muulize Anceloti wa Everton atakusimulia. Lakini alipoenda Bernabeu ubora wake ukarudi.Maua apewe kocha ....hao wachezaji walikuwa wakawaida sana kabla yakutua hapo...
Mfumo wa kocha umetiki
LMkuu huyo Yamal amecheza na Kina Vittina,Nuno mendezi,Vittina na Joao Nevez kwenye fainal ya Uefa National team!
Je alifnaya nini??
Huyo dogo hafai!Umemashau mmakonde mmoja kiboko ya lamine yamal mendez yule bwana ni mende haswa
Kwani Yamal alifanya maajabu gani alivyokutana na Nuno Mendez?Walifanya maajabu gani hao akina Vitinha?
Upo sawa kabisa Enrique yupo njema lakini hata mwanzo makosa yalikuwa yao Messi alikuwa ameisha hakutakiwa kuja PSG, huyo Messi si alipigwa na bayern 8Vitinha alikuepo EPL pale..
Dembele barca ulimuona
PSG ilkuwa na kina messi ila ilkuwa mlenda tu...
Kocha yupo njema mzee
Mbappe..Upo sawa kabisa Enrique yupo njema lakini hata mwanzo makosa yalikuwa yao Messi alikuwa ameisha hakutakiwa kuja PSG, huyo Messi si alipigwa na bayern 8
Huyo ndio acha kabisa.....mtu na nusu.Umemashau mmakonde mmoja kiboko ya lamine yamal mendez yule bwana ni mende haswa
Wale konyo sana.Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.