Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
PSG waligongwa na Aston Villa na Botafogo piaMadrid waligongwa mpaka na Arsenal sasa wana maajabu gani

Uongozi, psg walipoamua kuachana na masupa staa na kuwaachia wataalam wa soka waunde kikosi hayo ndio matokeo yake.Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Kweli kabisa hatari na chenga kamlaMkuu unataka amweke mfukoni mara ngapi, hukuona ile Uefa Nations league alivyomficha utadhani sehemu zake za siri..
Ni kweli kabisa.Tukubaliane na ukweli tu kuwa msimu huu PSG yuko bora sana, hakuna wa kumzuia..
Ndoto hii Bado unayo?Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
PSG alionekana bora ndani ya wabovu wenzake!
Jana alikuwa na bahati kupigwa 3, alikuwa anakufa 6!
💙💙💙💙
Chelsea hamna timu pale, kashapelekewa Liverpool