Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
- Thread starter
- #141
Well well well...here we go again!!!
Bado ninayo.Ndoto hii Bado unayo?
Hakika!Muda ni mwalimu sahihi sana
Warra UCL for Gunners!!!Nilikuambia we ni shabiki maandazi usiejielewa haya wamepigika 3 bila majibu
Back 2 back!PSG alionekana bora ndani ya wabovu wenzake!
Jana alikuwa na bahati kupigwa 3, alikuwa anakufa 6!
💙💙💙💙
Yep, kocha huyu ni kiboko. Halafu mpira wake unasisimua kuliko Guadiola. Hawa wachezaji wengi hawana majina lakini ameweza kuwafanya kila mmoja aonekane kama ni replica ya mwingine. Halafu Arsenal hawana wachezaji wazuri kwa counter attack. Kila walipokuwa wanapata nafasi pass ilikuwa inaenda fyongo.Kama wataendelea kubaki na Luis Enrique, sijaona timu ya kuwazuia tena msimu ujao.
Tukutane mwakani!
Arteta ni mzee wa Haram ball!!!Yep, kocha huyu ni kiboko. Halafu mpira wake unasisimua kuliko Guadiola. Hawa wachezaji wengi hawana majina lakini ameweza kuwafanya kila mmoja aonekane kama ni replica ya mwingine. Halafu Arsenal hawana wachezaji wazuri kwa counter attack. Kila walipokuwa wanapata nafasi pass ilikuwa inaenda fyongo.
YametimiaTukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Ulikuwa mbele ya muda, kongoleMuda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz kiungo yenye jicho la tatu, inakuwaje unaruhusu mtu atengeneze midfield iliyokamilika namna hii?
Fullbacks zao ni moto, wings ni balaa. Goalkeeper, JINI.
Eeeh bwana eeeh, sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa. Tukishangaa UEFA wanaweza kuitia kwapani kwa mara nyingine.
Nimelipenda jibu lako mkuu, hahahaha wewe mkorofi ila jibu muruwa sana NO TIME TO ARGUE..Sawa!
PSG dhidi ya Aston Villa iliteseka sana na ilipaki basi.
Tayari mkongwe, nimeacha ubishi.
Jamaa timu yao imekamilika mno.Hata ile barca prime haijawahi chukua back to back uefa
PSG wanachukua tena kwa mara ya tatu msimu ujao
😂😅Nakubaliana nawe lakini pia striking force ya Barcelona inaweza ikamaliza mchezo
barca kala 4 na mpira mkubwaWakutane na Barcelona tuufunge mjadala
Wakiifunga Barcelona hapo basi 🙌
Tayariii. 😂😂😂😂Wakutane na Barcelona tuufunge mjadala
Wakiifunga Barcelona hapo basi 🙌