Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

Uongozi, psg walipoamua kuachana na masupa staa na kuwaachia wataalam wa soka waunde kikosi hayo ndio matokeo yake.

Kuna mtu anaitwa Louis Campo kwa kiasi kikubwa ndio ana tawala Soka la Ufaransa, Ame husika kujenga vikosi vingi ikiwemo ile Monaco ya Kina Mbappe, Bernado Silva, Fabinho, Falcao, bakayoko, Lemar etc psg wakamchukua kama mshauri kuunda kikosi cha sasa.
 
Naona makocha wako boardroom wanaumiza vichwa namna ya kupamabana na PSG. Jamaa wameoverload kwenye flanks Hadi Madrid wakachanganyikiwa hawajui wamkabe nani. Yaani wenzao kina Dembele wako aggressive kwenye pressing wale kina Mbape na Vini wanakimbia kama wako beach... Unaweza kupamabana na PSG kama ukiwa na best dynamic players na kocha mwenye akili kubwa, superb combination inakuwa.
 
Ndoto hii Bado unayo?
 
PSG alionekana bora ndani ya wabovu wenzake!

Jana alikuwa na bahati kupigwa 3, alikuwa anakufa 6!
πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
Mpira hautabiriki kabisa, kwenye kombe la dunia la vilabu karibu kila moja aliamini PSG inachukua kombe lakini mwisho akipambana kwenye fainali na Chelsea hakuna aliyeamini matokeo.

Hivyo kama unabeti ujue unabeti kwa hatari yako mwenyewe.

Victory can go either way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…