Halafu ukishakimbia,,,,kesho yake hapo chuoni utatembea ukiwa na baibui au?maana utapata aibu ya mwaka,,,ni vyema kuzungumza tu,,,kama mwanamke ni wako? chukuwa,,, kama atassema hakuhitaji wewe ondoka zako,,,sasa mbaya ni pale mwanamke anakuchaguwa wewe,,, na jamaa analazimisha kumchukuwa mwanamke kwa nguvu,,,,,utafanyaje mkuu?bado namlaumu muuaji,,,pengine hata msichana alimchaguwa marehemu badala ya huyo muuaji,,,mapnz hayalazimishwi mkuu,,,,Mimi ishatokea siku moja ,,,jamaa kanikuta na demu Fulani,,,akatokea,,akanambiya huyu demu wangu,,,nikamuuliza msichana ,,,huyu nani?akanambiya jamaa yangu ila tuliachana muda sana tu,,,,,ananifanyia fujo tu,,,mm nikamwambiya jamaa,,,huyu mwanamke anasema hana mahusiano na wewe,,,so muache aende zake,,,jamaa akaomba ring na Mimi,,,japokuwa sikuhitaji ugomvi lakini ilibidi nijihami,,,mwisho wa mchezo jamaa akasema tukapigane kwenye taa sababu anahisi kwenye mikono nimeweka Mawe,,,,,kufika kwenye taa ,,kilichomkuta,,,..,akakubali yaishe,,,..kwahyo mkuu sometimes unapigana kujihami tu,,then unaacha yaendelee,,,mfano kama mwanamke angenambiya huyu ni bwana wangu,,basi ningeondoka zngu,,,sihitaji ugomvi usio na maana,,,Hawa jamaa, walifumaniana hostel wakaanzisha mtiti.
katika hali kama hiyo kwa nini usikimbie kuepusha majanga, maana kwenye ugomvi wa mapenzi mara nyingi hakuna anaekubali kushindwa mbele ya demu.
Mimi natimka, naomba msaada huko mbele kwa mbele ukitaka kuvimba mnatoana roho kama hivi
Kweli mkuuHichi ndicho nachomwamwambia mtoa mada yeye anakaza kichwa, mtoa mada ana low reasoning uwezo wake wa kufikiri ni mwembamba sana.
Aibu ya chuo na hiyo adhabu anayoenda kuipata kipi bora? Mkuu bado unaishi kwa kuangalia flani anazungmzaje juu ya mimi? Bado huelewi nini unahitaji kwenye maisha yako zaidi ya kuangalia watu wanawaza nini juu ya unayoyafanya?Halafu ukishakimbia,,,,kesho yake hapo chuoni utatembea ukiwa na baibui au?maana utapata aibu ya mwaka,,,ni vyema kuzungumza tu,,,kama mwanamke ni wako? chukuwa,,, kama atassema hakuhitaji wewe ondoka zako,,,sasa mbaya ni pale mwanamke anakuchaguwa wewe,,, na jamaa analazimisha kumchukuwa mwanamke kwa nguvu,,,,,utafanyaje mkuu?bado namlaumu muuaji,,,pengine hata msichana alimchaguwa marehemu badala ya huyo muuaji,,,mapnz hayalazimishwi mkuu,,,,Mimi ishatokea siku moja ,,,jamaa kanikuta na demu Fulani,,,akatokea,,akanambiya huyu demu wangu,,,nikamuuliza msichana ,,,huyu nani?akanambiya jamaa yangu ila tuliachana muda sana tu,,,,,ananifanyia fujo tu,,,mm nikamwambiya jamaa,,,huyu mwanamke anasema hana mahusiano na wewe,,,so muache aende zake,,,jamaa akaomba ring na Mimi,,,japokuwa sikuhitaji ugomvi lakini ilibidi nijihami,,,mwisho wa mchezo jamaa akasema tukapigane kwenye taa sababu anahisi kwenye mikono nimeweka Mawe,,,,,kufika kwenye taa ,,kilichomkuta,,,..,akakubali yaishe,,,..kwahyo mkuu sometimes unapigana kujihami tu,,then unaacha yaendelee,,,mfano kama mwanamke angenambiya huyu ni bwana wangu,,basi ningeondoka zngu,,,sihitaji ugomvi usio na maana,,,
Hivi mkuu kama hatuishi kwa kuangalia watu basi kwann hatutembei uchi?hivi atokee mwanaume akwambiye huyu mwanamke ni wangu,,,halafu mwanamke anasema mimi huyu Simjuwi,,,,,halafu mwanaume anachukuwa mwanamke kwa nguvu wewe unatimua mbio,,,aisee wewe ni zaidi ya mwanamke,,,, kwa kifupi hiyo mwanamke anahesabu alikuwa na shoga yake,,,sio mwanaume wake,,,, kama mwanamke atasema hakujuwi,,,kwanza heshima halafu mengine baadae,,,,narudia tena mpumbavu ni yule aliyeanzisha ugomvi,,,,kama mwanamke hakutaki wewe sepa zako....wacha manenoAibu ya chuo na hiyo adhabu anayoenda kuipata kipi bora? Mkuu bado unaishi kwa kuangalia flani anazungmzaje juu ya mimi?
Haya mambo huwa yanapata nguvu mpaka yanafikia kufanyiana unyama pale wote mnapotaka kuoneshana ubabe, mmoja wenu akisalenda madhara yanakuwa madogo.
Uliona ile video ya moshi ya fumanizi la yule mama? Unadhani yule mama nae angereact hali ingekuaje pale?.
Usikubali tena kupigana kwa namna yoyote ile mkiwa wote mna hasira, hili jambo usijaribu tena ni hatari sana katika ulimwengu huu ambao watu wanatembea washajifia, bora uonekane mjinga.
Unaanzaje kupigana kiboya namna hiyo mpaka mnapelekana kwenye taa mkuu, Aisee?. Ni kwamba demu awaone mna nguvu au hahaha, Aisee hapana, Nguvu ninazo lakini ninazitumia kwa mambo mengine.
Scenario yako iko tofauti kabisa.Hivi mkuu kama hatuishi kwa kuangalia watu basi kwann hatutembei uchi?hivi atokee mwanaume akwambiye huyu mwanamke ni wangu,,,halafu mwanamke anasema mimi huyu Simjuwi,,,,,halafu mwanaume anachukuwa mwanamke kwa nguvu wewe unatimua mbio,,,aisee wewe ni zaidi ya mwanamke,,,, kwa kifupi hiyo mwanamke anahesabu alikuwa na shoga yake,,,sio mwanaume wake,,,, kama mwanamke atasema hakujuwi,,,kwanza heshima halafu mengine baadae,,,,narudia tena mpumbavu ni yule aliyeanzisha ugomvi,,,,kama mwanamke hakutaki wewe sepa zako....wacha maneno
Mfano Mimi binafsi,,,kuna siku nilimkuta mwanamke wangu na jamaa,,,nikamfata mbele ya jamaa nikajitambulisha,,na jamaa akajitambulisha,,,wote ni wapenzi wake,,,hapo mwanamke akamchaguwa jamaa,,,basi mm nikasepa zangu,,,,, tatizo linakuja bado kuna mwanamme atataka akupe makofi tena hata baada ya kusalimu amri,,,,hilo haliwezekani,,,bado narudia tena .mpumbavu ni yule anayeanzisha ugomvi....sio anayejihami,,,watu tunajihami kulinda heshima....Scenario yako iko tofauti kabisa.
Nataka nikuambie kitu, hapa duniani hakuna kitu kama huo mfano uliosema..haiwezi kutokea mwanaume from no where aje akuambie huyu mwanamke ni wangu wakati hawana mahusiano naye.
Weka mfano halisi tuujadili, usiweke mambo ya kufikirika.
Sikiliza boss,Mfano Mimi binafsi,,,kuna siku nilimkuta mwanamke wangu na jamaa,,,nikamfata mbele ya jamaa nikajitambulisha,,na jamaa akajitambulisha,,,wote ni wapenzi wake,,,hapo mwanamke akamchaguwa jamaa,,,basi mm nikasepa zangu,,,,, tatizo linakuja bado kuna mwanamme atataka akupe makofi tena hata baada ya kusalimu amri,,,,hilo haliwezekani,,,bado narudia tena .mpumbavu ni yule anayeanzisha ugomvi....sio anayejihami,,,watu tunajihami kulinda heshima....
Nimekwambiaje,,,,kuna watu wa aina hyo,, bado unapigwa ili akudhalilishe kwa mwanamke wako....watu wanajihami kulinda heshima,,,we fight for honor,,, mkuu...,,mfano hata mm nishakubali kumwacha mwanamke na bado napigwa makofi,,,,Mkuu utafanyaje?hata dume la simba linapovamiwa huwa linapambana bila kujali kuna midume mingapi?we die for honor.. Mkuu,,,kumbe unaonyesha anaweza akaja mwamba akamchukuwa mkeo mbele yako,,ukatimua mbio? Kuepusha ugomvi?hivi mkuu mpo sehem dume linampiga mtama mkeo linambaka wewe unatimua mbio?halafu nyumbani utasema nn?Sikiliza boss,
ikitokea mazingira kama hayo. Sana sana mlemgwa kupigwa huwa ni mwanamke na si mwanamume. Mwanaume huwa anaunua ugomvi wa mwanamke, ili kuonesha ubabae wake.. hapo ndipo shida inapoanza. Cha kufanya ni kuhakikisha unatumia akili mwanamke anaondoka eneo la tukio.
Hii itapunguza mvutano,
Na huyo rafiki bado upo naye?wapo waliotembea na marafiki zangu wa karibu
Boss unachanganya mambo na unahama kwenye mjadala, Tofautisha mke na changu/mpenzi.. hapa tunazungumzia mpenzi.Nimekwambiaje,,,,kuna watu wa aina hyo,, bado unapigwa ili akudhalilishe kwa mwanamke wako....watu wanajihami kulinda heshima,,,we fight for honor,,, mkuu...,,mfano hata mm nishakubali kumwacha mwanamke na bado napigwa makofi,,,,Mkuu utafanyaje?hata dume la simba linapovamiwa huwa linapambana bila kujali kuna midume mingapi?we die for honor.. Mkuu,,,kumbe unaonyesha anaweza akaja mwamba akamchukuwa mkeo mbele yako,,ukatimua mbio? Kuepusha ugomvi?hivi mkuu mpo sehem dume linampiga mtama mkeo linambaka wewe unatimua mbio?halafu nyumbani utasema nn?
Kanda ya ziwa haya mambo ni ya kawaida sanaNimesikia Habari za Chuo cha Utumishi Tanga, Vijana wamezichapa hadi mmoja akaaga dunia kisa binti Sauda Hussein waliyekuwa wanachangia kimapenzi.
Bado najiuliza huyu Sauda alikuwa na utamu kiasi gani? Mpaka hii mijemba kuona chuo kizima ni yeye tu wengine hawafai mpaka wakaanza kumgombania.
Mimi hata nimfumanie mke wangu analiwa achana na ile njia halali hata iwe kinyume na maumbile siwezi kufanya upuuzi wa kupigana, sanasana nitawapa uhuru wa kuwapisha ili walane vizuri.
Kijana, wazazi wanauza kila walicho nacho huko kijijini ili wakupe elimu unaenda kupigania mapenzi?
Sina haja ya kumpa R.I.P aliyekufa, hawa ni WAPUMBAVU.
Poleni sana wazazi wa hawa watoto, mmepoteza mali zenu kuwapa elimu na mitoto imekuwa MIPUMBAVU
Mkuu wapo na tunafanya makubwa tu ya ushirikiano, wale walikuwa na machangu/wapenzi sikuona haja ya kusnzisha bifu kwa ajili yao, na wao walipiga wakaondokaNa huyo rafiki bado upo naye?
sio kweliKanda ya ziwa haya mambo ni ya kawaida sana
Unanisaliti sio!?Huo ni udhaifu sana
Halafu unakuaje na koloni moja hayo ni matumizi mabaya ya nguvu za kiume
Nakazia hapa,Baba utamu zinatofautiana kabisaaa kuna nyingine ni tamu balaaaaa hizo ndio shida kubwa